Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Huyu mzee CCM lazima watamuua ndiyo maana huwa hawamuiti hata kwenye events zao
Hakuna watamuua taratibuCCM hawana aibu, hawakawii kumuunganisha kwenye Uhaini, kumfutia ulinzi na marupurupu yote kama walivyowafanyaga kina Sumaye na EL., walivo waoga hao wqzee wakarudi CCM mbio...kupiga magoti.
Nchi hii hadi wazee ni machawa.
Mungu muweke hai Jaji wetu ili kabla hajapumzika aione Tangamyika ile anayotamani iwe.
yeye ni mzee wa kumsifiaHaya maoni huwezi kuyapata kwa kina balile na pascal mayalla
Alifanyaje?Anadai JWTz ndiyo wazalendo. Yule Kanali Ngemela alikuwa jeshi la Mgambo?
Alifanyaje?
hivi pascal ni chawa au ni kada mtiifu wa ccm? Balile ana element za uchawa hakani asilaniHaya maoni huwezi kuyapata kwa kina balile na pascal mayalla
Pasco chawa..hivi pascal ni chawa au ni kada mtiifu wa ccm? Balile ana element za uchawa hakani asilani
Ni mzee wa aibuWassira anatokea Mara kweli?
Kasema wapi No Elections? Karibu kila mtu (isipokuwa wachache wanao faidika na status quo) wanasema Reforms ni muhimu. G55 wanasema hivyo. ACT-WAZALENDO wanasema hivyo. Lipumba anasema hivyo. Wanapotaufiana ni kwenye kuunganisha hilo suala na "No Elections ". Warioba hajasema kitu kipya. Lakini hata yeye ni kada na ana mipaka yake.Anajielewa Naye Anataka Sana Sana
No Reform No Election
Kippi hajawahi kugombea ubunge Moshi Mjini, Kippi aligombea ubunge wa Kawe.Kippi hagombei tena Moshi mjini?
wote hawa mkulu anawajua vema na huwatajaja sana kwenye hotuba zake, utasikia balile kaangalie hilo jambo. Hawa chawa pro max hawawezi kumuangusha katika maandiko yaoPasco chawa..
Balile njaa + uchawa