Mzee Warioba aunga adai Reforms; achambua uozo wa mchakato wa Uchaguzi

Mzee Warioba aunga adai Reforms; achambua uozo wa mchakato wa Uchaguzi

Usije shangaa ukaambiwa warioba kazeeka kiakili kuliko wasira na makala mzee wa kuwaka masoko moto.
IMG_1135.jpeg
 
Mzee Warioba amesema yeye na wazee wenzake wanaingia kazini kusaka suluhu ya INEC na CHADEMA bila kutafuta aliye sahihi

Je, INEC itamsikiliza? Itamwelewa? Itatekeleza?

Chadema watamsikiliza? Watamwelewa? Watatekeleza?
hekima ikiwaongoza hakuna linaloshindikana chini ya jua!Mungu wetu wape hekima Viongozi wetu hata wakajadili jambo hili kwa maslahi maana ya taifa letu na sio vyama vyao!!
 
Tume imekuwa huru eti kisa tu imeongezewa neno huru tofauti na ilivyokuwa inaitwa hapo awali tume ya uchaguzi.utaratibu wa kuwapata hao wajumbe na mwenyekiti unabaki palepale wa kuwa mteule wa rais.sasa hapu huru inatoka wape?bila reform mwaka huu no election na Nchi itawaka kama wanavyokinukisha M23 kule DRC.
 
wote hawa mkulu anawajua vema na huwatajaja sana kwenye hotuba zake, utasikia balile kaangalie hilo jambo. Hawa chawa pro max hawawezi kumuangusha katika maandiko yao
Kweli mama huwa anamtaja sana balile..
Atakuwa kwenye payroll
 
Back
Top Bottom