Kavulata weye ni mjukuu wa ngapi wa huyu babu yako unaye manga kwa kulishwa maneno na mafisi wa kijani?TUsiwalaumu wazanzibar kwa sisi kukosa serikali ya Tanganyika. Wakati Nyerere anayasema haya hata Mzee Warioba alikuwa hajafa, alikuwepo na yupo hadi sasa. Alimjibu nini Nyerere aipoyasema haya?
View: https://youtube.com/shorts/oaqKz32hEsw?si=w9HDVY3pWZGaavNV
Ana umri wa baba yangu mdogo, sio babu. Nyerere kaifuta Tanganyika yeye akiwepo. Alikuwa makamu wa kwanza wa Rais, akawa mwanasheria mkuu wa serimali na akawa waziri mkuu akiwa hakuna Tanganyika. Yeye wakati wao walishindwa kuifufua Tanganyika, lakini sasa anamtaka Samia ndiye ailete Tanganyika kwa nguvu atake asitake.Kavulata weye ni mjukuu wa ngapi wa huyu babu yako unaye manga kwa kulishwa maneno na mafisi wa kijani?
A u from zenjibar?TUsiwalaumu wazanzibar kwa sisi kukosa serikali ya Tanganyika. Wakati Nyerere anayasema haya hata Mzee Warioba alikuwa hajafa, alikuwepo na yupo hadi sasa. Alimjibu nini Nyerere aipoyasema haya?
View: https://youtube.com/shorts/oaqKz32hEsw?si=w9HDVY3pWZGaavNV