Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Alikuwa anawaita wana kihereherehebu tuleteekikao ambacho magu alikataa kumsikiliza warioba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anawaita wana kihereherehebu tuleteekikao ambacho magu alikataa kumsikiliza warioba
Kama alivyosoma mawazo yetu juu ya MATAGA kufukuzwa woote na sasa MATAGA mmeanza kuionja joto jiweRais kasema amasomaga mitandao ya kijamii basi kila mtu anaamini comment au uzi wake humu utasomwa....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Afadhali yeye kuliko jiweHuyu jamaa alikuwa anaongoza kitapeli. Hakuwa na nia ya dhati ya katiba mpya.
Ile tume ya katiba aliiunda na kuanza mchakato kwa vile tu Dr Slaa alikuwa ameishikia bango na kupata support kubwa kutoka kwa wananchi kipindi cha kampeni.
Ni kweli ila nakuhakikishia hata wao chamoto walikiona,Mkapa alipoona ngoma nzito akaja na maoni yake yakapotezewa,nadhani angekua hai leo angetaka katiba mpya.hakuna mwnye hekima hpo ni matumbo yo na watoto wao na chama chao
Mzee Warioba wewe ndio ulikua kiongozi wa kuandika Katiba mpya,
Mzee Kikwete wewe ndio uliguswa na kilio cha katiba mpya ndio ukaunda kamati.
Wazee wenye busara Ni pamoja na Mzee Butiku,Mangula na wengine.
Mama Samia wewe ndio Rais kwa Sasa.
Nawaomba wazee nyinyi,mkutane pamoja na Rais Samia mjadiliane kuhusu kuanza kutumika kwa katiba pendekezwa na kamati ya Jaji Warioba.
Jaji Warioba baada ya kuvunjika bunge la katiba na baada ya Magufuli kuingia madarakani alikwenda kumshauri juu ya kupatikana kwa katiba mpya lakini Magufuli alikataa kumsikiliza na hii Ni kutokana na Magufuli kutokua msikivu na mjivuni.
Magufuli aliwahi kutamka kuwa Katiba mpya sio kipaumbele chake.
Inafahamika kuwa aliyeruhusu mchakato wa katiba alikua Kikwete,
Lakini aliyeuharibu alikua Mkapa.
Hata hivyo baadae Mkapa alikuja kuona Magufuli hadhibitiki,hafati katiba na anaendesha nchi kwa akili yake,Mkapa alionesha kujuta na akaja na mapendekezo kadhaa ambayo kimsingi yalikuwamo kwenye katiba pendekezwa ya Warioba.
Kimsingi Mkapa aliona umuhimu wa katiba Mpaya.
Mkapa alimshauri Magufuli kuruhusu wapinzani kushiriki kuunda Tume ya Uchaguzi na kushiriki kuhesabu kura,hapa aliongea kiutu uzima lakini kiukweli alikua anatamani Mambo yaliyomo kwenye Rasimu ya katiba pendekezwa ya Warioba.
Kama leo Mkapa angekuwapo ningeomba nae awemo katika hawa wazee Wisemen.
Mangula yeye Kama Samia,huyu ndio mwenyekiti kwa Sasa baada ya Mwenyekiti wa CCM taifa kufa.
Wazee wengine Kama kina Butiku wao busara zao zinahitajika Sana.
Ombi langu la kutaka Wazee hawa wakutane na Samia sio kumuomba akubali kuruhusu katiba mpya hapana,Bali kujadiliana kwa pamoja umuhimu wa kuleta katiba mpya.
Kwa Nini kujadiliana?
Kujadiliana kwa sababu nadhani (Sina uhakika) Chama ndio huwa kikwazo Cha kupatikana Katiba mpya,sidhani Kama Taasisi ya Urais Kama ndio kikwazo Cha Katiba mpya.Na uzuri Samia bado hajawa Mwenyekiti wa Chama.
Magufuli aliweza kukataa Mambo ya katiba kwa sababu alikua Rais na Mwenyekiti wa Chama.
Pia inaonesha Samia Ni msikivu na Hana uchu wa kujilimbikizia madarakani Kama yalivyo kwenye katiba Chakavu.
Nyerere aliwahi kuonya kuwa Katiba hii Chakavu akitokea Rais Dikteta ataongoza kidikteta Sana.
Nadhani wazee wangu wenyewe Ni mashahidi,miaka sita sio tu nchi iliteseka Bali hata nyinyi mlifungwa midomo na mlikanywa hadharani mbele ya sisi watoto wenu.
Hivyo kabla Mambo hayajapoa nawaomba mkutane mjadiliane juu ya ujio wa katiba mpya ili kuepusha mapema nchi kuja kupata Dikteta mwingine mkali zaidi ya Magufuli.
Wewe Kikwete ulituuliza "Watanzania mnataka mnikumbuke Kwan lipi?"
Tukakujibu,"Katiba mpya".
Ndipo ukaruhusu mchakato uanze.
Mkapa akavuruga lakini baadae akajuta,alipojaribu kushauri hakusikilizwa na bahati mbaya akafa.
Wazee wetu tunaomba Mkutane kwa pamoja na Samia mjadiliane jinsi ya kuleta katiba yetu tarajiwa..
NB
Mimi sio mwanasiasa mtanisamehe kwa uandishi usiopendeza,pia naomba kurekebishwa Kama kuna makosa Katia hoja yangu.
Naomba kuwasilisha.
Wewe ni Great thinker Mkuu..pia hongera kwa kuweka mbele maslahi ya Taifa. Ila naskitika kuwa walafi wa Mamlaka chama chetu cha Kijani kibichi watakuona Mwanga..kwanini ila mimi sjui!!Mzee Warioba wewe ndio ulikua kiongozi wa kuandika Katiba mpya,

Ni kweli ile ofisi ya Muungano apewe Waziri mkuu tuwe tunabadilisha baada ya miaka mitano zanzibar na Tanganyika, na makamu wa Raisi afanye kazi za Waziri mkuu, kikubwa katiba mpya ipatikane mambo ya vyeo vyao wayaweke pembeni Kwanza Kama watakosa hekima ya jinsi ya kujipa vyeo, Jambo la msingi vipengele vile vitakavyo wapa wananchi maendeleo na utawala wa nchi na kuhoji wavipitishe alafu ndo waendelee na vigugumizi vyao kwenye kugawana madaraka.Turuhusu katiba mpya Ila kuwe na serikali mbili yani serikali ya Zanzibar na Tanganyika , pia kuwe na kiongozi wa Jamuhuri wa Muungano ambae atakuwa anashughulikia na kuulinda Muungano ambae atapewa power katika baadhi ya mambo kuzidi Hawa Marais wawili. Atashughulikia mambo ya Muungano tu
Yaani atege miba katika njia atakayopita?Mzee Warioba wewe ndio ulikua kiongozi wa kuandika Katiba mpya,