Mimi pia nalitazama hili swala lakini sina maoni. Mawazo yangu yanabakia ni mawazo tu; hayaja - crystalize kuwa maoni.
Ila ningependa kuandika maoni ya wale jamaa niliwaona kijiweni leo. Mmoja wao kasema,"Rais Samia anapaswa kuwekwa jela" . Maneno yake yakazua mjadala mkali sana.