Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

Mimi pia nalitazama hili swala lakini sina maoni. Mawazo yangu yanabakia ni mawazo tu; hayaja - crystalize kuwa maoni.

Ila ningependa kuandika maoni ya wale jamaa niliwaona kijiweni leo. Mmoja wao kasema,"Rais Samia anapaswa kuwekwa jela" . Maneno yake yakazua mjadala mkali sana.
 
Hii ngoma ishaanza kuwa nzito mama yuko tested
Hao ndivyo walivyo,huwa wanaambiana kupiga presha wakiona Jambo linatishia maslahi ya vigango,walifanya hivyo kwa mwinyi, walimsumbua kweli kwa jakaya walikwama,na hapa watakwama,warioba na kizazi chake ni kizazi kilichopandikiza na kuitenda chuki dhidi ya waislam,hawezi mpenda mwarabu...ukichukia boga chukia na ua
 
H
Huyu mzee kishachoka sana. Mwacheni apumzike asijekufanyiwa kama kale kajambo alikofanyiwa na Bashite pale Ubungo pkaza.
 
Hawa wazee ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipofika, ndio walioshauriana na huyo Nyerere kuleta ujamaa nchini mwisho wa siku tukaangukia kwenye umasikini wa kutupa mpaka leo tunajitafuta. Pumbav zao!
Jilaumu mwenyewe, kwani Roast hakuwepo hapa?
Hujitambui ndiyo maana hujui nani wa kumlaumu kwa ujinga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…