Amesema enzi za mwalimu yeye akiwa ni waziri mkuu viongozi walikuwa wanaitwa ndugu au mwananchi.Mtu aliyepewa cheo na wananchi ni mheshimiwa na ni vyema kupewa heshima yake hiyo! Mbunge amechaguliwa na wananchi kwahiyo ni mheshimiwa, mwenyekiti wa kijiji amechaguliwa na wananchi ni mheshimiwa pia! Gar la mbunge likipita linapeperusha bendera askari anarakiwa kuipigia salut bendera! Tuache wivu!
Wewe na yeye mzee Warioba nani anajua zaidi mambo ya kiutawala?Mtu aliyepewa cheo na wananchi ni mheshimiwa na ni vyema kupewa heshima yake hiyo! Mbunge amechaguliwa na wananchi kwahiyo ni mheshimiwa, mwenyekiti wa kijiji amechaguliwa na wananchi ni mheshimiwa pia! Gar la mbunge likipita linapeperusha bendera askari anarakiwa kuipigia salut bendera! Tuache wivu!
Hapa umeongea ki emotional zaidi.Gar la mbunge likipita linapeperusha bendera askari anarakiwa kuipigia salut bendera!
Haaaa Ayoub atamuamuru Warioba aende kamati ya maadili "Sisi sio watu wakuchezeachezea"Muda sio mrefu spika Ndugai ataibuka kutaka kumpa onyo kali kwa hiyo kauli.
Tz tuna spika wa ajabu, mwenye file kule Milembe.
Mbona viongozi wa dini anaitwa kwa Cheo Chao kisha jina.Mtu aliyepewa cheo na wananchi ni mheshimiwa na ni vyema kupewa heshima yake hiyo! Mbunge amechaguliwa na wananchi kwahiyo ni mheshimiwa, mwenyekiti wa kijiji amechaguliwa na wananchi ni mheshimiwa pia! Gar la mbunge likipita linapeperusha bendera askari anarakiwa kuipigia salut bendera! Tuache wivu!
Nakumbuka wakati wa Mwalimu hakukuwa na neno Mheshimiwa kwa mtu yeyote, viongozi wote walikuwa wakiitwa Ndugu kasoro Rais ambaye alikuwa pia akiitwa Mtukufu Rais! Baada ya Mwalimu Nyerere kutoka madarakani, ukaibuka mjadala Bungeni Wabunge wakitaka waitwe Waheshimiwa (Honorable).Amesema enzi za mwalimu yeye akiwa ni waziri mkuu viongozi walikuwa wanaitwa ndugu au mwananchi.
Ni uqendawazimu mtu kutaka uotwe mheshimiwa. Sasa mtunkama Ndugai, ambaye kika mwenye akili anamdhaharau kutokana na unafiki wake, hata akiitwa mheshimiwa ndiyo ataheshimiwa? Si atabakia zuzu tu kama alivyo?Mzee wetu Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba amesema kulazimisha watu wakuite wewe kuwa ni mheshimiwa mbunge, mheshimiwa waziri ,mheshimiwa diwani huko ni kuweka matabaka kwenye jamii ya watanzania.
Hii inapingana na Naibu Spika alivyogombana na Mbunge wa Mbeya Mjini Mbilinyi. Tulia alilazimisha kuitwa Mheshimiwa Naibu Spika
Hakika mzee Warioba ni tegemeo la watanzania kwa busara.
Chanzo dakika 45 itv.
Ni mwendawazimu pekee ndiye anayeweza kuamini kuwa unaheshimiwa kwa sababu umejiita au umeitwa mheshimiwa.Mtu aliyepewa cheo na wananchi ni mheshimiwa na ni vyema kupewa heshima yake hiyo! Mbunge amechaguliwa na wananchi kwahiyo ni mheshimiwa, mwenyekiti wa kijiji amechaguliwa na wananchi ni mheshimiwa pia! Gar la mbunge likipita linapeperusha bendera askari anarakiwa kuipigia salut bendera! Tuache wivu!
Kuna mtumishi wa Mungu mmoja ashasematumekuwa tunachagua viranja wa nidhamu lakini nidhamu hawanaNi uqendawazimu mtu kutaka uotwe mheshimiwa. Sasa mtunkama Ndugai, ambaye kika mwenye akili anamdhaharau kutokana na unafiki wake, hata akiitwa mheshimiwa ndiyo ataheshimiwa? Si atabakia zuzu tu kama alivyo?
Acha uwongo. Nyerere hakuwa anaitwa mtukufu Rais. Alikuwa akiitwa Ndugu Rais. Kenya walikuwa wanamwita mtukufu Rais Arap Moi, wote watanzania tulikuwa tunashangaa. Wakati huo nikiwa chipukizi, nilimvisha Mwalimu skafu mara 2, mara zote nilimwita Ndugu Rais ..... Mwinyi ndiye kwa mara ya kwanza aliitwa Mtukufu Rais, na wabunge wakajiita waheshimiwa.Nakumbuka wakati wa Mwalimu hakukuwa na neno Mheshimiwa kwa mtu yeyote, viongozi wote walikuwa wakiitwa Ndugu kasoro Rais ambaye alikuwa pia akiitwa Mtukufu Rais! Baada ya Mwalimu Nyerere kutoka madarakani, ukaibuka mjadala Bungeni Wabunge wakitaka waitwe Waheshimiwa (Honorable). Mwalimu alipinga lakini wakamwambia mbona Uingereza wanaitwa Honorable. Wakapitisha sheria wakaanza kuitana Waheshimiwa. Siyo wakati wa akina Waryoba kweli?? Tafuta wazee watukumbushe. Ila wakati Waryoba ni PM Rais wake alikuwa akiitwa Mtukufu Rais, na Mzee sikumsikia akisema kitu kwa kuwa labda alikuwa na kitu.