Warioba siyo MjingaMuache mzee na yeye apige hela unafikiri yeye ni mjinga
Hapana, hakuna ugumu wowote kama sisi wenyewe tukidhamiria kuiweka sawa nchi yetu.Nchi ngumu sana hii!.
tatizo SMG na AK47Hapana, hakuna ugumu wowote kama sisi wenyewe tukidhamiria kuiweka sawa nchi yetu.
Hii ni kazi yetu; hatuwezi kumtegemea mtu mwingine yeyote aifanye kwa niaba yetu.
Kumbe unalijua hilo muache aokoteWarioba siyo Mjinga
Naamini kabisa kuwa Mzee Warioba siyo mjinga.Warioba siyo Mjinga
Hapana.tatizo SMG na AK47
Na sisi tutazipata tu, maana juzi hizo ndio tulizikosa. Kama wao wanakaa kwa silaha za moto, basi watatoka kwa silaha hizo hizo za moto.tatizo SMG na AK47
Wewe tayari umekwisha toa hukumu? Kuna wazalendo wasiotetereshwa na hivyo vibuyu vya aslai uchwara.Chezea kibuyu cha asali ww 😂
Sasa hivi hizo ndizo pekee wanazozitegemea kuwa madarakani; wanaozishikilia kwa niaba yetu na wao karibuni watageuka na kuwa upande wetu. Hawa wengi wao ni waTanzania tu kama tulivyo wengi wetu.Na sisi tutazipata tu, maana juzi hizo ndio tulizikosa. Kama wao wanakaa kwa silaha za moto, basi watatoka kwa silaha hizo hizo za moto.
Wewe nani wa kumshauri Jaji Warioba? Ungekuwa mawazo yako yanahitajika ungeitwa wewe. Kazi kujipa umaarufu usiokuwa nao.Umesimama vyema kabisa katika kupigania maslahi ya taifa hili kila mara, lakini umepuuzwa na kudharauliwa na hao hao wanaotaka sasa uwe dodoki la kufuta uchafu.
Umekuwa ni sauti pekee iliyosalia ikisikika kushauri na kuonya juu ya mwelekeo mbaya linakoelekezwa taifa hili bila ya kukata tamaa.
Umepuuzwa na kutengwa na kuwa wewe ndiye adui wa taifa hili.
Sasa baada ya kupuuzwa huko, na watawala kutimiza malengo yao ya kuchukuwa uongozi wa nchi kwa mabavu na kusababisha upotevu wa maisha ya waTanzania; watu hao hao wanageuka nyuma na kutaka wakutumie wewe kuhalalisha uovu wao na kuwasafisha.
Utawala uliopo ni HARAMU; huwezi kushiriki katika kuponya taifa wakati waliodharau maonyo yako wakiendelea kushika madaraka ya uongozi.
Utaanzia wapi kushughulikia Katiba Mpya chini ya maelekezo ya watu ambao tayari wamekudharau na kuwadharau waTanzania?
Hiyo kazi ya mchakato wa Katiba Mpya, pamoja na umuhimu wake ulivyo; tafadhali, usikubali kusimamia kazi hiyo chini ya serikali HARAMU hii; na wakati ambapo maswala mengi ya uovu uliofanyika bado hayajapata suluhisho.
Njia pekee ya wewe kujihusisha na kazi hiyo tukufu kwa taifa letu ni hapo hawa watawala watakapokuwa nje ya uongozi wa serikali haramu; na wafungwa wote wa kisiasa wakisha achiwa huru.
Kamwe usikubali kutumika kama kikaratasi cha kufutia uchafu.
Unanijibu wewe ukiwa kama nani, nguruwe wa Samia?Wewe nani wa kumshauri Jaji Warioba? Ungekuwa mawazo yako yanahitajika ungeitwa wewe. Kazi kujipa umaarufu usiokuwa nao.
Yaani upande wewe ni mhamasisha maandamano, halafu wewe leo ndiyo uwe na mawazo ya kumshauri Warioba?? Nyie wachoma nchi bama, hatuwataki kwendeni zenu
Leo unakubali mwenyewe kuwa unahangaika sana humu JF kwa sababu ya "kupiga hela"?Muache mzee na yeye apige hela unafikiri yeye ni mjinga
Mimi najitolea mkuu na sio mwanasiasa na sina chamaLeo unakubali mwenyewe kuwa unahangaika sana humu JF kwa sababu ya "kupiga hela"?
Butiku anapiga hela; Wasira anapiga hela. Mzee Warioba angekuwa ni mpiga hela wakati huu usingemsikia tena akitajwa tajwa na yeyote. Mzee wa watu amenyanyasika sana kwa msimamo wake usioyumba juu ya hatma ya taifa hili..