Mzee Warioba, Tahadhari: Huwezi Kugeuzwa kuwa Jiwe la Chumvi

Kwa nguruwe kama wewe sishangai, kama hujui kwamba hiyo taarifa iliwekwa hapa JF wakati huo ilipotoka.

Sasa sijui maana yako ya kuileta hapa tena ni nini. Wewe unapochukuwa upande unaoutaka tu na kusahau upande wa pili unajionyesha ulivyo nguruwe tu; kwa kukumbuka masalia tu, basi na kusahau kwamba kesho utakuwa ni kitoweo.

Kwa kifupi, hiyo taarifa yako haibadili chochote. Samia alidharau ushauri aliopewa na huyo huyo Mzee Warioba. Angefuata ushauri huo, msingewaua waTanzania kama mlivyofanya Oktoba.
Na sababu za Samia kutofuata ushauri huo wa Warioba, zinajulikana; ili alazimishe kubaki madarakani bila ya ridhaa ya waTanzania.

Sasa unataka kumlazimisha Mzee Warioba asiyakumbuke haya yote?
 
Wewe mbo

Mbona unakwepa kujibu swali jepesi hivyo? Mzee wako una shida
 
Hakuna swrikali iliyopo madarakani; kama hujui hilo wewe utakuwa ni nguruwe tu unayefugwa na Samia.

Hayo majambazi yanayojifanya kuwa na serikali yataondoka ; hilo usiwe na shaka nalo.

Usifikiri Mzee Warioba hana akili; kama ni kumlazimisha kwa vitisho vya kumuua pia atakataa. Huyo ni MZALENDO wa kwelikweli wa nchi hii.
Kuwa na akili sio maana yake kukubaliana na mnachotaka nyinyi wapumbavu .

Warioba hafanyi vitu kwa shinikizo, ukiona anesimamia jambo maana yake kwa akili yake ameona mantiki. Ndio maana hata nyinyi CHAEDEMA mlipomuendea na mapendekezo yenu mengine aliwakàalia pakepale baada ya kuekezwa.

Kama unafikiri haki maana yake ni kukabidhi madaraka kwa CHADEMA, basi utasubiri sana.

W
 
Wewe mbo

Mbona unakwepa kujibu swali jepesi hivyo? Mzee wako una shida
Niakwepa vipi kujibu swali hata likiwa la kipuuzi toka kwa nguruwe kama wewe.
Sema tu kwamba uduni wako wa maisha ndilo tatizo linalosababisha usijuwe kuwa umejibiwa.
 
Kuwa na akili sio maana yake kukubaliana na mnachotaka nyinyi wapumbavu .

Warioba hafanyi vitu kwa shinikizo, ukiona anesimamia jambo maana yake kwa akili yake ameona mantiki. Ndio maana hata nyinyi CHAEDEMA mlipomuendea na mapendekezo yenu mengine aliwakàalia pakepale baada ya kuekezwa.

Kama unafikiri haki maana yake ni kukabidhi madaraka kwa CHADEMA, basi utasubiri sana.

W
Kwanza tayari umekwisha jiweka kwenye uchizi mwenyewe kwa uandishi ulioweka hapa.

"Tunachotaka sisi wapumbavu", ni hicho hicho ambacho Mzee Warioba amekuwa akikipigania miaka yote; kwa hiyo, kwa mtu chizi kama wewe hili haliingii akilini mwako.

Ndiyo, Warioba hafanyi vitu kwa shinikizo; ndiyo sababu tunaye matumaini makubwa sana kuwa hawezi kukubali kutumia hata kwa shinikizo na watu waovu kabisa kama Samia na Genge lake. Kama jambo hili nalo wewe huwezi kulitambua, kwa nini usiitwe chizi!

Sababu ya uchizi wako tu, ndiyo iwe kisingizio usikumbuke kwamba ni mara ngapi huyo mzee mmemdharau na kumdhalilisha wakati akiwashauri mambo mazuri kabisa yaliyotakiwa myafanye ili kuepuka mauaji haya mliyowafanyia waTanzania?

Ili kukudharau kabisa kuhusu uwezo wako wa kufikiri; kwa nini unakimbilia kuhusisha CHADEMA hapa. Kuna mahali popote palipotajwa CHADEMA katika maandishi hayo?
Hata hivyo, kama CHADEMA walikuwa na mapendekezo unayosema "aliyakataa", unao ushahidi huo wa kuyakataa na sababu za kuyakataa. Ni mapendekezo yapi hayo; aliyakataa kwa sababu yalikuwa hayafai kwa Tanzania, au kwa sababu zipi; kwa mfano muda tu wa kuyatekeleza?
Kuna mapendekezo ya Samia na Genge lake aliyokubaliana nay Mzee Warioba; kwamba Samia ajiandae kuwaua waTanzania kwa kulazimisha yeye ndiye awe mtawala kwa nguvu? Mzee Warioba alikubaliana na matakwa haya ya Samia kabla ya Oktoba?

Kwani kwako wewe "HAKI" ni nini? Mimi sijasema kuwa ni kuwakabidhi CHADEMA madaraka, hii ni akili ya kichizi pekee ndiyo inayoweza kuwaza namna hii.

Swala la "kusubiri sana" hilo huna uwezo nalo wewe, na Samia Suluhu Hassan hana madaraka yoyote juu yake. Nenda kamuulize hali yake ilivyo sasa hivi juu ya swali hilo.
 
Niakwepa vipi kujibu swali hata likiwa la kipuuzi toka kwa nguruwe kama wewe.
Sema tu kwamba uduni wako wa maisha ndilo tatizo linalosababisha usijuwe kuwa umejibiwa.
Sina uduni wa maisha. Nina uwezo wa kujikimu na kuajiri watu wengine kama 20
 
Wewe ni zaidi ya mwendawazimu.
 
Sina uduni wa maisha. Nina uwezo wa kujikimu na kuajiri watu wengine kama 20
Kwa hii kazi inayokushushia heshima namna hii?
Hao watu 30 wanajuwa utegemezi wao kwako unapatikana kwa kazi mbovu kabisa inayokuondoa utu namna hii unayoonyesha kila siku kwenye jukwaa hili?

Hao watu 30 unaosema wanakutegemea wewe (ambao ni uongo), wangejuwa kazi unayofanya wangekukana moja kwa moja.
 
We mzee unachanganyikiwa. Hiyo 30 umeitoa wapi kwenye maandiko yangu. Dementia is real
 
Kuna watu watalala na viatu baada ya kusikia kauli za Jana za Mzee Warioba.
 
Naamini kabisa kuwa Mzee Warioba siyo mjinga.
Maana yangu ya kumpa tahadhari ni huu ulaghai mwingi unaotumiwa na huyu mwanamke shetani kabisa.

Wakati huu atatumia sababu ya kuponya taifa; na umuhimu wa kuwa na hiyo Katiba Mpya; ili kumfanya mzee wa watu ashawishike kuisimamia kazi hiyo muhimu.

Naelewa mzalendo yeyote atashawishika kama kazi anayo ombwa kuisimamiaina umuhimu kama ilivyo hii ya Katiba Mpya.
Ninachomtahadharisha mzee Warioba, ni kutumiwa kwa lengo la kuwasaidia kukaa madarakani hawa waovu, wakati uwepo wao huo ukiwa ni haramu.
Kwa vyovyote hawatoki.

Waafrica wanapenda madaraka kwa gharama kubwa, kwa damu, kwa uchawi nk.

Iwe wameiba kura, maliasili wameuwa maelfu au hata sasa wanandelea kuteka hawajali.
Kwamba wanamtumia Waryona au wasimtumie hawatoki nakuthibitishia.

Hakuna anayejitolea kuozea jela. Wanayoyafanya yanaonyesha watafia madarakani kwa nguvu yoyote na genge lao la uporaji.

CCM yetu tuliyoiimba zamani, yenye siasa safi, watu, na uongozi Bora imebaki vitabuni tu.
 
We mzee unachanganyikiwa. Hiyo 30 umeitoa wapi kwenye maandiko yangu. Dementia is real
Hata maana ya 'dementia" huijui, lakini husiti kutupia tu neno ili uonekane mjuaji?
'Denentia' inahusiana vipi na kuweka tarakimu kwenye maandishi? Kama ni tarakimu isiyo sahihi, hiyo inakuwa inahusu 'dementia'?

Badala ya kushupalia tarakimu, kubali kwamba ujumbe husika umekuingia barabara; lakini kwa vile wewe ni nguruwe tu mfugwaji, hiyo haina maana kwako.
 
Mithali 27:22
 
Mithali 27:22
Unapenda sana hizi ngonjera ambazo huna ufahamu wowote juu yake; na wala hata huyo unayemwelekezea hizo mithali hajui maana yake ni nini!
Hadhi ya kuwa nguruwe, mara zote hujionyesha kwenye maandishi kama hayo.
 
Kula na hii sasa Mithali 26:5 :
Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.
 
Bado unajifichia huko, hata baada ya kuambiwa hayo binafsi sielewi maana yake ni nini?
Na hata kama ningekuwa na ufahamu nayo, 'interpretation' yako isingekuwa na maana yoyote.; kama hivyo unavyohangaika na hao "wakatoliki" unaofikiri ndio watakaomwokoa Samia Suluhu Hassan.
 
Back
Top Bottom