Mzee Warioba, Tahadhari: Huwezi Kugeuzwa kuwa Jiwe la Chumvi

Tunaamini amempa stahiki yake na za uso za kutosha......alichokitegemea ...sicho alichopata jana......yule Butiku ni mnafiki hana IQ ya Warioba yule ni chawa tu hana uwezo huo ndio maana amekubali kununuliwa 1b.....mpuuzii
Mzee Butiku kanisikitisha sana; pamoja na kuwa karibu na Mwalimu siku zote zile, halafu aje kuwa alivyo geuka sasa?
Hakuna sababu muhimu inayoweza kueleza na kuhalalisha kugeuka kwake huko.

Kama ni swala la kutunisha mfuko wa taasisi hiyo; atakuwa amenajisi jina na kila kitu alichokisimamia Mwalimu.
 
Mimi najitolea mkuu na sio mwanasiasa na sina chama
Hapana. Sababu inajulikana, na uliitangaza wewe mwenyewe hiyo jana, humu humu Jukwaani.

Sasa hata ungekuwa unajitolea, ndiyo ifikie hadi kushererhekea kumwagwa damu ya waTanzania wenzako, kweli?
 
Hapana. Sababu inajulikana, na uliitangaza wewe mwenyewe hiyo jana, humu humu Jukwaani.

Sasa hata ungekuwa unajitolea, ndiyo ifikie hadi kushererhekea kumwagwa damu ya waTanzania wenzako, kweli?
Mkuu Mimi sijasherekea mkuu

Ila nilikuwa natoa tahadhari kuhusu nyie mliokuwa manahamaisha maandamano kuwa ni double agent
 
Chezea kibuyu cha asali ww 😂
Mzee Warioba hana dhiki, ana pension yake nzuri tu, na mzee wa watu hana tamaa ya fisi kama wakina Kikwete hivyo yuko sawa.
Tatizo ninaloliona mimi liko kwenye hili bunge haramu!! Bunge ni kiungo muhimu katika kupata Katiba ya wananchi, Je mzee Warioba ataafiki hili bunge haramu ndio liidhinishe "KATIBA" ya wananchi?
Kikwete bado ndio sterling wa Samia na ndio yeye aliyesababisha tukakosa katiba ya wananchi!! Hatua gani zichukuliwe ili upumbavu uliozuia tusipate katiba wakati ule haurudiwi safari hii?
 
Unausemea moyo wa MTU unafikiri karudi mikono mitupu hiyo safari yake !!!
 
Huyo mzee huko kapelekwa kinguvu 😹😹
 
Mbona Warioba alimshauri Tundu kuwa kutafuta reforms zinazowezekana kwa muda mfupi sawa, lakini hamna namna CHADEMA wanaweza kuzuia uchaguzi. Tundu akamdharau, na yaliyompata ndiyo hayo. Ananyea debe
 
Katika umri ule....anapaparika na 1bil za kwake nje ya taasisi na kuharibu taswira nzima na sifa ya Mwalim.....ikibidi Taasisi na Familia wajitafakari awapishe sasa....nadhani imetoshaaw
 
Unajua lissu kuwepo ndani raisi samia kunamtesa sana anatumia nguvu kubwa sana kumshawishi lissu watoe tofauti zao kwa hiyo inawezekana anataka amtumie warioba kwa nguvu yake ya kukubarika kwenye jamii hivyo awashawishi chadema na lissu wakae mazeni wasemehane na maisha mengine yaendelee hakuna kitu kizuri kwa raisi kupita mitaani ukishangiliwa na wananchi wako
Samia ni tofauti na hayati magufuri
Samia anampenda sana lissu basi tu lissu apendeki
 
Mbona Warioba alimshauri Tundu kuwa kutafuta reforms zinazowezekana kwa muda mfupi sawa, lakini hamna namna CHADEMA wanaweza kuzuia uchaguzi. Tundu akamdharau, na yaliyompata ndiyo hayo. Ananyea debe
Hiyo ni 'version' yako ya kipuuzi kukidhi upotoshaji na uongo mwingi uliowajaa waovu nyinyi.

Kama Warioba alishauri "kutafuta reforms zinazowezekana kwa muda mfupi", Samia hakumsikia akishauri hivyo, badala ya kupanga na kutekeleza mauaji ya waTanzania?
 
Nikujibu kwa kifupi tu, kama unayo akili utaelewa.

Samia hawezi "kumpenda Lissu", huku akiwa haipendi Tanzania

Hapa unajaribu kufanya 'spinning' za kitoto sana zisizokuwa na maana yoyote.

Ajenda isiyokuwa na shaka yoyote ya Mzee Warioba kuwa hapo alipoonekana ni swala la Katiba Mpya. Hili ndilo sasa linalotaka kutumiwa ili mambo mengine yote machafu yaliyofanyika yawekwe pembeni.
 
Unazeeka vibaya. Haya soma hapa;-
 
Warioba hawezi kusikiliza ushauri pumba kama huu.

Serikali haitaondoka madarakani kwa kelele za mitandaoni.

Wote wenye busara tunajua kuwa mazungumzo ndio njia bora ya kutatua changamoto za wakati.
 
Warioba hawezi kusikiliza ushauri pumba kama huu.

Serikali haitaondoka madarakani kwa kelele za mitandaoni.

Wote wenye busara tunajua kuwa mazungumzo ndio njia bora ya kutatua changamoto za wakati.
Hakuna swrikali iliyopo madarakani; kama hujui hilo wewe utakuwa ni nguruwe tu unayefugwa na Samia.

Hayo majambazi yanayojifanya kuwa na serikali yataondoka ; hilo usiwe na shaka nalo.

Usifikiri Mzee Warioba hana akili; kama ni kumlazimisha kwa vitisho vya kumuua pia atakataa. Huyo ni MZALENDO wa kwelikweli wa nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…