GE2025 Mzee Warioba una jukumu kubwa la kusuluhisha hili Taifa, wewe pekee ndo mzee unakubalika na umma

GE2025 Mzee Warioba una jukumu kubwa la kusuluhisha hili Taifa, wewe pekee ndo mzee unakubalika na umma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,047
Reaction score
63,206
Baada ya Kauli ya mzee Butiku, ambaye naamini atakuwa ametumwa na watu wa mfumo ili kumkana afande Tesha, mimi nimuombe tu mzee Warioba kuwa yeye peke yake kwa sasa ndiye akiongea kitu umma utamsikiliza, namshauri asichukue upande, asimame kama msuluhishi na ajiepushe kuuza mtaji huu muhimu ambao umma unauhitaji au utauhitaji.

Asijjingize kwenye mtego wa kuwa chawa wa Samia kama ambavyo kwa bahati mbaya mzee Butiku ameuingia. Kwa sasa sidhani kama Butiku ataongea kitu wananchi wengi wakamchukulia serious tena.

Kwa hiyo Jaji atambue umma unamuona kuwa yeye ndo angalau ndiye mzee wa hekima aliyebakia kwa sasa, wengine waliobaki ni watu ambao uzito wao mbele ya umma ni wepesi sana kutokana na wao kuendekeza siasa nyepesi za kujiangalia wao zaidi kuliko maslahi mapana ya kitaifa.

Kwa hiyo Jaji ajiepushe kutumiwa na CCM masilahi wanaojaribu kuonyesha kuwa kuna normalcy nchini wakati wakiendelea kunajisi mahakama, haki za wananchi za kuchagua na kuchaguliwa, huku matendo ya kuteka watu yakiendelea. Kwa hiyo Jaji kama Msuluhishi wa Taifa asikubalikutumiwa kuwapa moral authority wahuni na wabinafsi ili waendeleze uhuni wao.

Jaji awaache wahuni wazijibu hasira za wananchi wao wenyewe!
 
Baada ya Kauli ya mzee Butiku, ambaye naamini atakuwa ametumwa na watu wa mfumo ili kumkana afande Tesha, mimi nimuombe tu mzee Warioba kuwa yeye peke yake kwa sasa ndiye akiongea kitu umma utamsikiliza, namshauri asichukue upande, asimame kama msuluhishi na ajiepushe kuuza mtaji huu muhimu ambao umma unauhitaji au utauhitaji.

Asijjingize kwenye mtego wa kuwa chawa wa Samia kama ambavyo kwa bahati mbaya mzee Butiku ameuingia. Kwa sasa sidhani kama Butiku ataongea kitu wananchi wengi wakamchukulia serious tena.

Kwa hiyo Jaji atambue umma unamuona kuwa yeye ndo angalau ndiye mzee wa hekima aliyebakia kwa sasa, wengine waliobaki ni watu ambao uzito wao mbele ya umma ni wepesi sana. kutokana na kuendekeza siasa nyepesi za kujiangalia wao zaidi kuliko maslahi mapana ya kitaifa.

Kwa hiyo ajiepushe kutumiwa na CCM masilahi wanaojaribu kuonyesha kuwa kuna normalcy nchini wakati wakiendelea kunajisi mahakama, haki za wananchi za kuchagua na kuchaguliwa, huku matendo ya kuteka watu yakiendelea. Kwa hiyo Jaji kama Msuluhishi wa Taifa asikubalikutumiwa kuwapa moral authority wahuni na wabinafsi ili waendeleze uhui wao.

Jaji awaache wahuni wazijibu hasira za wananchi wao wenyewe!
Hao wazee tuachane nao siyo wa kuamini tena, tupambane kivyetu kama GenZ. Huoni wakenya walimpuuza raila wakafanya yao
 
Warioba huyu huyu aliezabwa vibao na bashite au mwingine?
 
Back
Top Bottom