johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sio tu,bahasha na kahawa,upo ule umafia wa kuteka wagombea wengine na kuwapora fomu Ili kupitia bila kupingwa au kuwaweka pingamizi uchwara π€Ni kweli BILA hela ya kahawa kwa wanyamwezi HUKO unafikiri Protas na ntimizi wangekuwa WABUNGE!!?
Full umafia !Ndio mΓ ana nataka;-
"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa owe latina Mpya!
Mbowe anagombea Machame tuSio tu,bahasha na kahawa,upo ule umafia wa kuteka wagombea wengine na kuwapora fomu Ili kupitia bila kupingwa au kuwaweka pingamizi uchwara π€
Ukabila ulikuwa upo ila haukuwa na nguvu until kipind chake aka amplify hiyo kitu.Kuna clip moja nimeiona jana humu JF Magufuli anamdismiss Mbunge wa Upinzani huku akimtetea nadhani alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri maeneo ya Mara huko. Magufuli mwisho akasema "kwanza huyu siyo mtu wa huku anatokea huko Morogoro sijui kuja kuwavuruga hapa".
Jaji Warioba amesema Siasa za Tanzania zinaendeshwa mikanda, kikabila na kidini na hili liko wazi kabisa
Warioba amesema mfano rahisi ni Wabunge wa Bunge la JMT ambao huenda kugombea vijijini kwao ili wachaguliwe na watu wa makabila yao wakipozwa na " Bahasha"
Source ITV habari
Awamu iliyopita?Kasema ukweli kabisa.ukanda umekithiri sana awamu hii.kama wewe siyo mzenji au mpwani teuzi utazisikia redioni tu
wewe si ndo unayeshabikia hayo mambo humu ndani?alichosena ndo uhalisia wenyewe.hakuna alipopindisha hata kidogo hata mwalimu aliishaliongelea hilo sana ktk hotuba zake mbali mbali.ccm imejaa rushwa ya kila aina.Jaji Warioba amesema Siasa za Tanzania zinaendeshwa mikanda, kikabila na kidini na hili liko wazi kabisa
Warioba amesema mfano rahisi ni Wabunge wa Bunge la JMT ambao huenda kugombea vijijini kwao ili wachaguliwe na watu wa makabila yao wakipozwa na " Bahasha"
Source ITV habari
Uchaguzi hauwezi kuwa huru na haki tena kama unakiri mgombea anachaguliwa kwa vigezo vya dini, na kabila lake.Mwambie Hakuna tatizo zikiendeshwa hivyo kama viongozi wanachaguliwa katika uchaguzi huru na wa haki na sio kupitia teuzi. Siasa duniani kote huwa zinaendeshwa kwa namna hiyo, watu wanamchagua mtu wanayemtaka. Wakifanya hivyo kwa sababu ya dini yake, kanda au kabila ni sawa tu.
well said.Kuruhusu mgombea binafsi naona itakuwa suluhisho la hayo.
Kwa mfano Mbowe anagombea Hai kwa sababu za ukabila vinginevyo angegombea Kawe anakojulikana miaka yoteWakati mwengine mzee anazungumza vitu vinavyoibua maswali sana. Hivi kuna sehemu Tanzania ambako kuna jimbo la kabila au dini flani wakati tumechanganywa kama taifa tangu enzi za Mwalimu? Hizi ni fikra za udini na ukabila.
Halafu mtu lazima akagombee anakotoka ili ajue Rural sociology ya hilo jimbo na wananchi wamjue . Point ya rushwa tunaweza kukubaliana ktk baadhi ya maeneo siyo general kama alivyoongea mzee. Yaani kila jimbo kuna rushwa? Hii ni fallacy generalization.πππ
Rasimu itakusaidia Nini. Siasa bila hela hkna kitu utapta. HTa hyp rasimu haina uwezo wa kuzuia bahashaNi kweli BILA hela ya kahawa kwa wanyamwezi HUKO unafikiri Protas na ntimizi wangekuwa WABUNGE!!?
Full umafia !Ndio mΓ ana nataka;-
"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa owe latina Mpya!
Wakati mwengine mzee anazungumza vitu vinavyoibua maswali sana. Hivi kuna sehemu Tanzania ambako kuna jimbo la kabila au dini flani wakati tumechanganywa kama taifa tangu enzi za Mwalimu? Hizi ni fikra za udini na ukabila.
Halafu mtu lazima akagombee anakotoka ili ajue Rural sociology ya hilo jimbo na wananchi wamjue . Point ya rushwa tunaweza kukubaliana ktk baadhi ya maeneo siyo general kama alivyoongea mzee. Yaani kila jimbo kuna rushwa? Hii ni fallacy generalization.πππ