Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
UKabila Bado upo s'na tu, ni vile hauongelewi kma Kenya. We nenda kagombee ubunge au udiwan sehemu usiyo na nasaba Nayo!! UOne utapta hyo nafasi Ukiacha maeneo machache ya mjini..Kwa nini Nyerere na wenzake alikuwa na chuki sana na makabila ya watu? Mpaka akataka Watanzania wajichanganye, wasiyazungumzie makabila yao. Makabila yalimkosea nini Nyerere mpaka ayapige vita kiasi kile?
MorogoroUKabila Bado upo s'na tu, ni vile hauongelewi kma Kenya. We nenda kagombee ubunge au udiwan sehemu usiyo na nasaba Nayo!! UOne utapta hyo nafasi Ukiacha maeneo machache ya mjini..
Uchaguzi hauwezi kuwa huru na haki tena kama unakiri mgombea anachaguliwa kwa vigezo vya dini, na kabila lake.
Kwa sababu wale wasio wa dini au kabila hilo, hawapati uwanja sawa na yule wa kabila na eneo alipotoka, hata kama ana sifa za ziada kiutendaji.
UKabila Bado upo s'na tu, ni vile hauongelewi kma Kenya. We nenda kagombee ubunge au udiwan sehemu usiyo na nasaba Nayo!! UOne utapta hyo nafasi Ukiacha maeneo machache ya mjini..
Mwalimu hakuchukia makabila alichukia UKABILA. Kama ni kabila hata yeye alikuwa nalo ni Mzanaki ila hakupenda ukabila uwe ni mfumo wa kuchagua uongozi wa nchi iwe ni katika mtaa au taifa. Ndiyo maana alisema faida ya makabila ni kutaaambika tu.🙏🙏🙏Kwa nini Nyerere na wenzake walikuwa na chuki sana na makabila ya watu? Mpaka akataka Watanzania wajichanganye, wasiyazungumzie makabila yao. Makabila yalimkosea nini Nyerere mpaka ayapige vita kiasi kile?
Kuna clip moja nimeiona jana humu JF Magufuli anamdismiss Mbunge wa Upinzani huku akimtetea nadhani alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri maeneo ya Mara huko. Magufuli mwisho akasema "kwanza huyu siyo mtu wa huku anatokea huko Morogoro sijui kuja kuwavuruga hapa".
Kuruhusu mgombea binafsi naona itakuwa suluhisho la hayo.
Sio kweli.kidini
Jah people siyo mbena, Sugu siyo Msafwa, Dr Tulia siyo Msafwa, mchungaji Msigwa siyo mhehe, Dr Gwajima siyo mzaramo, Wenje siyo Msukuma, Lena siyo MuArusha nk....nkNi mara chache sana huko kwenye majimbo yasio ya vijijini mtu ambaye hatoki eneo hilo anaweza kushinda udiwani au ubunge, labda awe ameishi hapo jimboni muda mrefu sana.
Wengi hapa Jukwaani wanasahau kwa sababu wanaishi mjini na katika majiji ambapo kuna mchanganyiko mkubwa wa makabila tofauti.
Mwalimu hakuchukia makabila alichukia UKABILA. Kama ni kabila hata yeye alikuwa nalo ni Mzanaki ila hakupenda ukabila uwe ni mfumo wa kuchagua uongozi wa nchi iwe ni katika mtaa au taifa. Ndiyo maana alisema faida ya makabila ni kutaaambika tu.🙏🙏🙏
Kwa nini Nyerere na wenzake walikuwa na chuki sana na makabila ya watu? Mpaka akataka Watanzania wajichanganye, wasiyazungumzie makabila yao. Makabila yalimkosea nini Nyerere mpaka ayapige vita kiasi kile?
Swali la msingi.Ni kweli hiyo makabila faida yake ni matambiko tu? Mila, desturi, utamaduni, lugha, n.k za makabila hazina faida kweli? Kwa nini viongozi wa makabila kwa mfano machifu hawakutambuliwa rasmi na wakina Nyerere kama walivyotambua rasmi viongozi wa dini kwa mfano kadinali wa kanisa katoliki?
Nyerere hakuwa na chuki na makabila ya watu ila huenda aliangalia migogoro na mauji yaliyokiwa yanaendelea Rwanda, Congo, Burundi, Uganda, Zimbabwe, Nigeria n.k ambayo kwa sehemu kubwa ilitokana na ukabila. Kwa kipindi kile alikuwa sahihi ila baadaye waka overdo walipoifanya hii kuwa ajenda ya kudumu. Zaidi sana sio rahisi hata kidogo kuwa na ukabila Tanzania, sio rahisi kuwa na kabila moja linalo dominate na kukandamiza makabila mengine.
Jambo la kushangaza dini imetumika kwa ubaguzi, ukandamizaji na kama kichocheo kimojwapo cha vurugu na vita sehemu kadhaa duniani ila haikupuuzwa au watu hawahamasishwi kuipuuza mpaka leo! Kumekuwepo na Jihads na Crusades, migogoro ya Msumbiji, Somalia, Nigeria, Rwanda, Mnymar, vita vya Iraq-Iran, vita vya Israel-Palestina, Sudan, Yugoslavia, Vietnam, Afrika Kusini, Kashmir n.k dini zimehusika pakubwa sana.
Huna logic kaka. Kwenye hili umepotea kabisa. Si mshabiki wa mboweKwa mfano Mbowe anagombea Hai kwa sababu za ukabila vinginevyo angegombea Kawe anakojulikana miaka yote
Mtu hukubalika nyumbani kwao kabila lakeHuna logic kaka. Kwenye hili umepotea kabisa. Si mshabiki wa mbowe
Wengi wanagombea wanapokubalika, walipojiwekeza. Not otherwise
Mudu pekee au,mbona Wanakijani hata ujumbe wa nyumba kumi hawamudu🤔Mbowe anagombea Machame tu
Mtazamo huu ni WA wanakijani pekee Tena wale wa ukanda pendwa wa enzi Ile🤔 w.Mtu hukubalika nyumbani kwao kabila lake
Kanda ya ziwa imekuwa na Wabunge kutoka Kilimanjaro lakini Moshi thubutu!Mtazamo huu ni WA wanakijani pekee Tena wale wa ukanda pendwa wa enzi Ile🤔 w.
Kilimanjaro ni wapi na Moshi ni WA JoKanda ya ziwa imekuwa na Wabunge kutoka Kilimanjaro lakini Moshi thubutu!