Mbunge anawakilisha wananchi wa hilo jimbo..
Sasa mnataka mzaramo akawe mbunge wa Iramba.
Hao wananchi wa vijijini iramba watamueleza shida zao kwa lugha gani? .
maisha ya vijijini kuna watu wanajua lugha asili tu ya kwao. Ndio maana wanachagua mtu wao.. hata kampeni huwa zinafanywa kwa kilugha chao
Kwa maana hiyo mhehe anayezungumza kisukuma anaweza kuchaguliwa Misungwi au Geita....!!?
Kwa maana hiyo mhehe anayezungumza kisukuma anaweza kuchaguliwa Misungwi au Geita....!!?
Hizo conjunctions 2 umezitumiaje kamanda?Hapa hakuna cha kubisha. Mzee kasema ukweli lakini ingependeza zaidi kama angekuja na ways za kuondoa hiyo situation katika taifa letu. Unless otherwise ni kutafuta popularity tu.
Hii comment yako sikuiona, nilipoiona ndipo nimegundua kiini cha tatizo lako.Kwenye siasa ni vigumu sana kushinda ukiwa mgombea binafsi ila ni haki ambayo inapaswa kuwa katika katiba.
Hii comment yako sikuiona, nilipoiona ndipo nimegundua kiini cha tatizo lako.
Naona umeathiriwa na malezi ya CCM ndio maana unaamini mgombea binafsi kushinda kwenye siasa ni vigumu.
Mimi sioni ugumu wowote hapo, hasa ukishajua wapiga kura huwa hawachagui sura au chama cha mgombea, bali sera zake, huwezi kuona tatizo hapo.
Na kama huyu mgombea bila kujali dini au kabila lake, akayajua matatizo ya wapiga kura wake, na kuwaahidi kuyafanyia kazi wakimchagua, nao wakamuamini kwa sera zake, lazima ashinde.
Atakaposhinda, huyu atakuwa hajashinda kwasababu ya kabila lake, dini yake, wala chama chake, ni sera zake, jitahidi uielewe hii concept.
Unaonekana hujui hata maana ya mgombea binafsi, huyu sio individual atakayezunguka peke yake jimbo lote, hata mgombea binafsi anaweza kuwa na vyote hivyo, organisation nk..Kushinda uchaguzi kunahitaji zaidi ya sera nzuri. Kunahitaji mipango, intelejensia, oganaizeshini, coordination, communication, wapangua propoganda na makundi"mtandao" muhimu. Chama kinafanya hiyo kazi kuwa rahisi, bila chama hata kushinda udiwani ni sawa na kupanda kilele cha mlima Kilimanjaro.
Don't be too naive,
Hata huko kwenye demokrasia zilizokomaa kabisa ni nadra sana mgombea binafsi kushinda. Seneti ya Marekani yenye maseneta 100 ina maseneta 2 tu ambao ni Independent.
Yah, yah yah..... Tisidanganyane. Tofauti yetu na Kenya ni ndogo sana. Kama hiyo ni kweli mbona hatujaona miaka yote hiyo?Ndio. Anaweza kuchaguliwa
Waliokuja kutafuta D'Salaam wanaelewa zaidi changamoto za Daslamu kwa sababu hapa ndipo wanapofanya sehemu kubwa ya maisha, wanaweza kuwa wawakilishi wazuri zaidi wa hapa kuliko kule walipotoka.
Tatizo linaenda mbali zaidi na kuwa kubwa sana kwa sababu unakuta hao wabunge wengi wa huko mikoani wanaishi Dar hata wakiwa wabunge badala ya kuishi kwenye majimbo yao na wale waliowachagua.
Bado hujajifungua hiyo mimba?? Michepuko mingine bhanaKwa mfano Mbowe anagombea Hai kwa sababu za ukabila vinginevyo angegombea Kawe anakojulikana miaka yote
Wewe mapacha wako bado unawanyonyesha?Bado hujajifungua hiyo mimba?? Michepuko mingine bhana
Yah, yah yah..... Tisidanganyane. Tofauti yetu na Kenya ni ndogo sana. Kama hiyo ni kweli mbona hatujaona miaka yote hiyo?
2015 jinsi JPM alivyozoa kura Usukumani... Na jinsi Lowasa alivyopata support North ni ushahidi tosha.... Whether you agree to or not!! I rest my case.
Ilikuwa awamu ya Sukumagang.Awamu iliyopita?
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Kuruhusu mgombea binafsi naona itakuwa suluhisho la hayo.
Sasa mtu kama Halima Mdee utasema siyo mzaramo?Mtu kupata kura nyingi kwao sio ukabila bali ni mapenzi tu ya nyumbani.. ni sawa na timu ya mpira ikicheza uwanja wa nyumbani kwao huwa inashangiliwa sana kuliko ikiwa ugenini.
Dar wabunge wapo kibao. Je hao wabunge wanatoka makabila yenye asili dar?
Ulishawahi kuona mchato akigombea dar?Mbowe anagombea Machame tu
Askofu GwajimaUlishawahi kuona mchato akigombea dar?
Dar na Mwanza, hazina wenyewe. Ni miji ya kila mtu. Hiyo ndiyo mikoa pekee unayoweza kuchaguliwa regardless kabila lako. Same as Nairobi na Mombasa. Ndiyo maana nasema tofauti yetu na Kenya ni ndogo sana.Mtu kupata kura nyingi kwao sio ukabila bali ni mapenzi tu ya nyumbani.. ni sawa na timu ya mpira ikicheza uwanja wa nyumbani kwao huwa inashangiliwa sana kuliko ikiwa ugenini.
Dar wabunge wapo kibao. Je hao wabunge wanatoka makabila yenye asili dar?
Dar na Mwanza, hazina wenyewe. Ni miji ya kila mtu. Hiyo ndiyo mikoa pekee unayoweza kuchaguliwa regardless kabila lako. Same as Nairobi na Mombasa. Ndiyo maana nasema tofauti yetu na Kenya ni ndogo sana.
Actually, wao wako vizuri maana wameshajua tatizo lao na wanajitahidi kuifanyia kazi. Sisi hauoni kama tuna tatizo wakati linakuwa kila siku.... Including la Udini.