Pre GE2025 Mzee Wasira: Wananchi wana njaa, hawawezi kula Katiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa serikali imetekeleza madai yote yaliyowasilishwa na vyama vya upinzani, ikiwemo maridhiano, kurejea kwa wanasiasa waliokimbilia uhamishoni, msamaha kwa waliokuwa gerezani, pamoja na kuruhusu maandamano na mikutano ya hadhara.

"Wapinzani wakiongozwa na CHADEMA walisema hali ni mbaya, wakataka maridhiano, wakataka waliokimbia warudi, wakarudi. Wakasema kuna watu 400 walioshtakiwa na kuhukumiwa mwaka 2020, utaratibu ukafuatwa wakaachiliwa kwa msamaha wa Rais kwa mujibu wa Katiba. Hilo nalo wakapata. Wakasema wanataka mikutano na maandamano, wakapewa, walikuja hata hapa Bunda na helikopta yao kwa sababu wanapenda sana show-off. Lakini nyinyi watu wa Bunda mkawasikiliza, hamna kitu!"

"Sasa kila mahali ni Katiba, Katiba, Katiba! Watu wana njaa, wanataka chakula, wanataka hospitali na elimu, wewe kila siku unasema Katiba! Watakula Katiba?" amehoji Wasira.
Simlaumu mzee Wasira nawalaumu waliomteua
 
Kama wana njaa kwa miaka 60 inawezekana hiyo katiba ndiyo inaleta njaa!!!
 
Mashangingi yanayonunuliwa kila kukicha anayaona?
 
Ila katiba ndio inayowawezesha kupata chakula na kushiba. Tunachotaka katiba ibadilishwe kudhibiti watawala wanaokimilikisha nchi na kujishibisha wao na familia zao,huku wenye nchi wakitaabika kwa mlo mmoja kwa siku na wengine wakishindia uji.
 
Hivi unaweza kumheshimu mzee mpuuzi kama huyu?
Mimi namheshimu sana Mzee Wasira! Na napenda hoja zake za nguvu ambazo chadema hawawezi kumjibu zaidi ya kumtukana.
Ukisikia OLD IS GOLD ndio watu kama Mzee Wasira!
CCM HOYYEEEEEE! Wapinzani endeleeni kutukana sisi tunajipanga na mitano tena.!
 
Ila katiba ndio inayowawezesha kupata chakula na kushiba. Tunachotaka katiba ibadilishwe kudhibiti watawala wanaokimilikisha nchi na kujishibisha wao na familia zao,huku wenye nchi wakitaabika kwa mlo mmoja kwa siku na wengine wakishindia uji.
Mbowe na Lisu wanakula milo mingapi kwa siku?!
Nchi haiwezi kuwa na matajiri watupu wala masikini watupu!
Lazima nchi iwe na matajiri kama freeman Mbowe na masikini kama wewe hapo unayekula mlo mmoja kwa siku!
Sasa CCM wanapojipanga kuwakwamua watu kama wewe unayekula mlo mmoja angalau na wewe upate milo mitatu anakuja Mbowe anadai serikali iache kuwakwamua wananchi wa hali ya chini ilete KATIBA MPYA ili apate nafasi ya kushiba zaidi.!
 
Ila katiba ndio inayowawezesha kupata chakula na kushiba. Tunachotaka katiba ibadilishwe kudhibiti watawala wanaokimilikisha nchi na kujishibisha wao na familia zao,huku wenye nchi wakitaabika kwa mlo mmoja kwa siku na wengine wakishindia uji.
Mbowe, Lisu, Zito, Lipumba na mzee wa ubwabwa wanashiba kwa katiba ipi?!
Au unaamini kuwa Mbowe na Zito pia wanashindia uji na mlo mmoja?!
Kama Mbowe na ukoo wao wametajirika bila katiba mpya hata wewe hapo unaweza ukawezeshwa na ukapata maisha bora bila katiba mpya!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa serikali imetekeleza madai yote yaliyowasilishwa na vyama vya upinzani, ikiwemo maridhiano, kurejea kwa wanasiasa waliokimbilia uhamishoni, msamaha kwa waliokuwa gerezani, pamoja na kuruhusu maandamano na mikutano ya hadhara.

"Wapinzani wakiongozwa na CHADEMA walisema hali ni mbaya, wakataka maridhiano, wakataka waliokimbia warudi, wakarudi. Wakasema kuna watu 400 walioshtakiwa na kuhukumiwa mwaka 2020, utaratibu ukafuatwa wakaachiliwa kwa msamaha wa Rais kwa mujibu wa Katiba. Hilo nalo wakapata. Wakasema wanataka mikutano na maandamano, wakapewa, walikuja hata hapa Bunda na helikopta yao kwa sababu wanapenda sana show-off. Lakini nyinyi watu wa Bunda mkawasikiliza, hamna kitu!"

"Sasa kila mahali ni Katiba, Katiba, Katiba! Watu wana njaa, wanataka chakula, wanataka hospitali na elimu, wewe kila siku unasema Katiba! Watakula Katiba?" amehoji Wasira.

Yah right. Wana njaa kwa miaka 60 ya CCM . Hawataki kuendelea na njaa kwa miaka 60 mingine. Simple!
 
Huyu dingi angepumzika siasa umri umeshamuacha mbali!
Birthday ya Wasira makamu mwenyekiti wa CCM ni
1 July 1945,
Birthday ya Trump rais wa USA ni
14 June 1946.
Tafauti ya umri wa Trump na umri wa Wasira ni mwaka mmoja tu kwahiyo Donard Trump rais wa USA mwaka kesho atakuwa na miaka 80 sawa na mzee Wasira na Bado Trump ataendelea kuwa rais hadi 2029.
Nakusudia kusema kwamba :
IKIWA WASIRA HAFAI KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM na TRUMP HAFAI KUWA RAIS WA USA.
 
Yeye yupo toka enzi za mwalimu, walishindwa nini kuwapa wananchi chakula?

Ila veggies mnaboa sana mnataka tumtukane babu tuonekane hatuna adabu..!! Mxieeeeww
 
Huyu mzee na mwonea huruma umri alio nayo ni ya kulea wajukuu
Rais Donarld Trump ikifika mwezi June tarehe 14 anakamilisha miaka 79 na bado ataendelea kuwa rais wa Marekani taifa kubwa duniani kuliko CCM hadi 2029.
Unadhani rais Trump hana wajukuu wa kulea?!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa serikali imetekeleza madai yote yaliyowasilishwa na vyama vya upinzani, ikiwemo maridhiano, kurejea kwa wanasiasa waliokimbilia uhamishoni, msamaha kwa waliokuwa gerezani, pamoja na kuruhusu maandamano na mikutano ya hadhara.

"Wapinzani wakiongozwa na CHADEMA walisema hali ni mbaya, wakataka maridhiano, wakataka waliokimbia warudi, wakarudi. Wakasema kuna watu 400 walioshtakiwa na kuhukumiwa mwaka 2020, utaratibu ukafuatwa wakaachiliwa kwa msamaha wa Rais kwa mujibu wa Katiba. Hilo nalo wakapata. Wakasema wanataka mikutano na maandamano, wakapewa, walikuja hata hapa Bunda na helikopta yao kwa sababu wanapenda sana show-off. Lakini nyinyi watu wa Bunda mkawasikiliza, hamna kitu!"

"Sasa kila mahali ni Katiba, Katiba, Katiba! Watu wana njaa, wanataka chakula, wanataka hospitali na elimu, wewe kila siku unasema Katiba! Watakula Katiba?" amehoji Wasira.
 
Attachments

  • VID-20250118-WA0028.mp4
    5 MB
Back
Top Bottom