Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 422
- 489
Enzi za Mwalimu Tanzania ilikuwa na idadi ya watu wa ngapi na hivi leo tuko wangapi ?!Yeye yupo toka enzi za mwalimu, walishindwa nini kuwapa wananchi chakula?
Ila veggies mnaboa sana mnataka tumtukane babu tuonekane hatuna adabu..!! Mxieeeeww
Enzi za mwalimu kwenye mkoa wako barabara za lami zilikiwa kilometa ngapi na leo zipo kilometa ngapi?!
Enzi za mwalimu kwenye wilaya yako palikuwa na shule za sekondari ngapi na leo zipo sekondari ngapi?!
Enzi za mwalimu Tanzania nzima ilikuwa na vyuo vikuu vingapi na Leo hii vipo vingapi?!
Enzi za mwalimu nchi nzima tulikuwa na vituo vya radio vingapi na leo hii vipo vingapi?
Enzi za mwalimu nchi nzima tulikuwa na vituo vya television vingapi na Leo hii vipo vingapi?!
Enzi za mwalimu nchi nzima kulikuwa na hospitali za rufaa ngapi na Leo hii tunazo ngapi?!
Enzi za mwalimu palikuwa na vyama vya upinzani vingapi na leo vyama viko vingapi?!
CCM IMELETA MAENDELEO MAKUBWA SANA!
CCM HOYYEEEEEE!!