Mzee Wassira awataka Vijana kuhoji masuala kwani kunyamaza ni unafiki

Mzee Wassira awataka Vijana kuhoji masuala kwani kunyamaza ni unafiki

Wassira awataka Vijana Kuhoji Mambo ( Masuala ) kwani Kunyamaza ni Unafiki.

Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo hii.

Sasa kama Mzee Steven Wassira ( Kada Mkongwe ) na Mtu aliyehudumu Serikalini miaka mingi, ametumika sana Kuandika ILANI ya Chama cha CCM na anajua vyema Siasa anataka 'Wakosoaji Werevu' akina KEROZENE na wengineo kamwe tusinyamaze Wewe ( Nyie ) ni nani mpaka mtuzuie na mtutishe hadi Kututanguliza mapema Makaburini tukalale Usingizi wa Milele?

Ngoja sasa KEROZENE nijiandae kuangalia Hafla ya UWT ( kupitia TBC1 na ZBC ) huko Zanzibar wakiwa Wanampamba na Kumpongeza Mama wa Taifa kwa Kutuongoza kama Mwanamke, Kusafiri nje ya nchi kwa muda mfupi, Kukopa sana WB na IMF na Kuturejeshea Watanzania Furaha tuliyoisahau kwa muda mrefu ya Mgawo wa Maji na Umeme Tanzania.
Kerosine mpambe wa mwendazake unaona wivu Samia kuwa treated vizuri hizo ni Tabia za kike
 
Binafsi hata kama nashabikia CCM ila huwa sina Uvumilivu kwa Wapumbavu na Wanafiki waliojazana Lumumba na Kizota ambao wanadhani Kuficha Mapungufu ya Chama na Mama ndiyo Kukiimarisha wakati kumbe ndiyo wanakididimiza tu Chama na hata wana CCM wenye Akili nasi tunadharaulika Kutwa.
Mkuu hongera kwa kujitofautisha na maelefu ya wana ccm wenzako ambao wao kila uchao ni kusifu na kuabudu.
 
CCM ya sasa inahitaji new Think Tanks wa Kukisaidia Chama na siyo Kuwakumbatia Wapumbavu na Wanafiki wengi waliojazana na wanaoaminiwa kwa Uwongo, Chuki na kutengeneza Matukio mabaya huku wakiwa na Vimelea vingi vya Uchawi na Wapenda Ushirikina pamoja na Majungu.
Hongera sana
 
Huogopi Kutishiwa Maisha na Kuuliwa kama inavyotutokea wengine kwakuwa tu tunakosoa sana halafu tuna Akili kuliko wa Magogoni na Chamwino?
Kila MTU ni kichaa ukichaa wake huufikia akiwa na hasira ,akiwa na njaa ndiyo unazidi 'every body is mad and that ,the degree of madness is measured when angry' nimeandika pia kwenye kitabu changu cha ujasiriamali somo linaitwa 'the entrepreneur and his silent society "(mjasiriamali na jamii iliyo nyamaza'
 
Binafsi hata kama nashabikia CCM ila huwa sina Uvumilivu kwa Wapumbavu na Wanafiki waliojazana Lumumba na Kizota ambao wanadhani Kuficha Mapungufu ya Chama na Mama ndiyo Kukiimarisha wakati kumbe ndiyo wanakididimiza tu Chama na hata wana CCM wenye Akili nasi tunadharaulika Kutwa.
Kerezone nimekuelewa kama nilivyomuelewa Diallo na yule mjumbe wa Pwani.
Kweli unaficha mimba kwa dela huku utazaa mtoto atakuwa uraiani
 
Huu ni UONGO mkubwa!nchi ina 3 big fresh water lakes !ukame utoke wapi?na tumejaliwa kuwa na mito mingi tu yenye maji ya kutosha
Kwenye hiyo mito kuna miundombinu iliyojengwa kutupatia maji? Samia anaingiaje hapo Sasa?
 
Tatizo ni ukame au maarifa?.
Maarifa lazima yawekwe kwenye vitendo. Huyu ndiyo kwanza kaingia mm iundombinu yote ya umeme na maji kaikuta. Sasa hata kama ana maarifa ni lini na kwa fedha gani angeyetekeleza?
 
Unachangia Mada ( Uzi ) au Unapromoti Kitabu chako?
Nachangia mada, wala sijataja kitabu kinaitwaje nimetoa mfano wa kufanya biashara kwenye jamii iliyonyamaza,swali je ukifanya biashara kwenye jamii iliyonyamaza , unaweza fanikiwa? Jamii isiyo hoji ni jamii mfu
 
Tanzania Ukame umewahi kutokea tu katika hii Awamu yake? Ukame serious umewahi kutokea 2006/2007 ukasababisha mgao wa umeme na maji kuwa wa kutisha. Kwahiyo siyo mara ya kwanza.
 
Kwani Samia kama Rais wa JMT baada ya kujua hiyo Changamoto ameshindwa Kuahirisha Sherehe za Uhuru na hiyo Bajeti akaagiza upesi sana ikatumike katika Kuiimarisha hiyo Miundombinu ili suala la Maji na Umeme liwe Historia katika Miaka hii 60 ya Uhuru?
Lini umefanya feasibility na EIA study ya kujenga miundombinu ya kuzalisha maji na umeme toka mtoni?
 
Yeye Wasira alipokuwa ndani ya mfumo mbona alikuwa anamkimbiza Lissu amkate makofi kwa kuihoji serikali.
Wasira na Hawa ghasia walikuwa jeuri sana kwa wabunge wenzao
Mzee Tyson bado anaitaka Bunda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom