Mzee Wassira awataka Vijana kuhoji masuala kwani kunyamaza ni unafiki

Kerosine mpambe wa mwendazake unaona wivu Samia kuwa treated vizuri hizo ni Tabia za kike
 
Mkuu hongera kwa kujitofautisha na maelefu ya wana ccm wenzako ambao wao kila uchao ni kusifu na kuabudu.
 
Hongera sana
 
Huogopi Kutishiwa Maisha na Kuuliwa kama inavyotutokea wengine kwakuwa tu tunakosoa sana halafu tuna Akili kuliko wa Magogoni na Chamwino?
Kila MTU ni kichaa ukichaa wake huufikia akiwa na hasira ,akiwa na njaa ndiyo unazidi 'every body is mad and that ,the degree of madness is measured when angry' nimeandika pia kwenye kitabu changu cha ujasiriamali somo linaitwa 'the entrepreneur and his silent society "(mjasiriamali na jamii iliyo nyamaza'
 
Kerezone nimekuelewa kama nilivyomuelewa Diallo na yule mjumbe wa Pwani.
Kweli unaficha mimba kwa dela huku utazaa mtoto atakuwa uraiani
 
Huu ni UONGO mkubwa!nchi ina 3 big fresh water lakes !ukame utoke wapi?na tumejaliwa kuwa na mito mingi tu yenye maji ya kutosha
Kwenye hiyo mito kuna miundombinu iliyojengwa kutupatia maji? Samia anaingiaje hapo Sasa?
 
Tatizo ni ukame au maarifa?.
Maarifa lazima yawekwe kwenye vitendo. Huyu ndiyo kwanza kaingia mm iundombinu yote ya umeme na maji kaikuta. Sasa hata kama ana maarifa ni lini na kwa fedha gani angeyetekeleza?
 
Unachangia Mada ( Uzi ) au Unapromoti Kitabu chako?
Nachangia mada, wala sijataja kitabu kinaitwaje nimetoa mfano wa kufanya biashara kwenye jamii iliyonyamaza,swali je ukifanya biashara kwenye jamii iliyonyamaza , unaweza fanikiwa? Jamii isiyo hoji ni jamii mfu
 
Tanzania Ukame umewahi kutokea tu katika hii Awamu yake? Ukame serious umewahi kutokea 2006/2007 ukasababisha mgao wa umeme na maji kuwa wa kutisha. Kwahiyo siyo mara ya kwanza.
 
Kwani Samia kama Rais wa JMT baada ya kujua hiyo Changamoto ameshindwa Kuahirisha Sherehe za Uhuru na hiyo Bajeti akaagiza upesi sana ikatumike katika Kuiimarisha hiyo Miundombinu ili suala la Maji na Umeme liwe Historia katika Miaka hii 60 ya Uhuru?
Lini umefanya feasibility na EIA study ya kujenga miundombinu ya kuzalisha maji na umeme toka mtoni?
 
Yeye Wasira alipokuwa ndani ya mfumo mbona alikuwa anamkimbiza Lissu amkate makofi kwa kuihoji serikali.
Wasira na Hawa ghasia walikuwa jeuri sana kwa wabunge wenzao
Mzee Tyson bado anaitaka Bunda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…