Muju4 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 5,489 Reaction score 7,446 Nov 20, 2021 #41 Ngungenge said: Kerosine mpambe wa mwendazake unaona wivu Samia kuwa treated vizuri hizo ni Tabia za kike Click to expand... Ni wivu tuu unamsumbua
Ngungenge said: Kerosine mpambe wa mwendazake unaona wivu Samia kuwa treated vizuri hizo ni Tabia za kike Click to expand... Ni wivu tuu unamsumbua
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 8,146 Reaction score 11,434 Nov 20, 2021 #42 KEROZENE said: Ukiwa na Maarifa Ukame unaweza kuja? Click to expand... Unaelewa maana ya "ukame wa maarifa"!!???
KEROZENE said: Ukiwa na Maarifa Ukame unaweza kuja? Click to expand... Unaelewa maana ya "ukame wa maarifa"!!???
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Nov 20, 2021 #43 KEROZENE said: Kwahiyo unakiri kuwa Kudra za Mwenyezi Mungu zilimpenda na Kumbariki zaidi JPM ila kwa huyu wa SSH Mwenyezi Mungu amegoma kumpa hizo Kudra zake? Click to expand... Hekima za mwenyezi Mungu si sawa na za mwanadamu. Hivyo hata kudra zake hazielezeki wala kuhojiwa.
KEROZENE said: Kwahiyo unakiri kuwa Kudra za Mwenyezi Mungu zilimpenda na Kumbariki zaidi JPM ila kwa huyu wa SSH Mwenyezi Mungu amegoma kumpa hizo Kudra zake? Click to expand... Hekima za mwenyezi Mungu si sawa na za mwanadamu. Hivyo hata kudra zake hazielezeki wala kuhojiwa.
N Nkanini JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 7,157 Reaction score 17,390 Nov 20, 2021 #44 Sexless said: Kwenye hiyo mito kuna miundombinu iliyojengwa kutupatia maji? Samia anaingiaje hapo Sasa? Click to expand... Sikulaumu maana upumbavu uliouonyesha kujibu hoja hii ni Matokeo ya UPE yaliyoletwa na politicians wetu.
Sexless said: Kwenye hiyo mito kuna miundombinu iliyojengwa kutupatia maji? Samia anaingiaje hapo Sasa? Click to expand... Sikulaumu maana upumbavu uliouonyesha kujibu hoja hii ni Matokeo ya UPE yaliyoletwa na politicians wetu.
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Nov 20, 2021 #45 Nkanini said: Sikulaumu maana upumbavu uliouonyesha kujibu hoja hii ni Matokeo ya UPE yaliyoletwa na politicians wetu. Click to expand... Ukiona unashambulia mtu badala ya hoja jitathimini.
Nkanini said: Sikulaumu maana upumbavu uliouonyesha kujibu hoja hii ni Matokeo ya UPE yaliyoletwa na politicians wetu. Click to expand... Ukiona unashambulia mtu badala ya hoja jitathimini.
Swet-R JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 5,613 Reaction score 8,082 Nov 20, 2021 #46 Sexless said: Mvua zilikuwa nyingi sana Click to expand... Sio mvua. Kipindi cha JK chote kulikuwa hamna mvua?. Mpaka tulikuwa tunadhuhudia mafuriko kila kona. Ni maarifa tu yamekosekana.
Sexless said: Mvua zilikuwa nyingi sana Click to expand... Sio mvua. Kipindi cha JK chote kulikuwa hamna mvua?. Mpaka tulikuwa tunadhuhudia mafuriko kila kona. Ni maarifa tu yamekosekana.