Mzee wenu nimegundua kitu fulani katika harakati za kutongoza hawa mabinti wa GenZ 😀

Supapawa

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2026
Posts
1,076
Reaction score
2,690
Nimegundua ukiwa unachati na binti wa Elfu mbili basi usimalizie maneno.

Nimetambua ya kuwa ukiwa mtu wa kumalizia maneno itaonekana mshamba, yaani hujui kitu na pia si romantic 😅

Andika vp badala vipi itaonekana unajua mapenzi.
Andika nakpend badala ya nakupenda itaonekana mwenye nguvu za kiume.
Andika p badala ya poa utaonekana una uko fair.

Wazee wenzangu tubadilike kupatana na muda.

Cc Dr am 4 real PhD,
Eronda,
Da Dona.
 
Siku hizi nafupisha sana maneno na matokeo nayaona.
1791914633384.jpg
 
Mwandikie "nakpeda" badala ya nakupenda.

Natk tufuge doa badala ya nataka tufunge ndoa.

Afu ela nshatm badala ya halafu hela nimeshatuma.

Usiombe huyo mrembo wako wa afu mbili awe wa Tanga, utapasua simu kwa ukataji wake wa maneno. Bora ukachati na mtoto wa la pili utaelewa alichoandika.
 
Wengine wanaunganisha maandishi. Hapo ndo nakereka.
 
Ukiwa hivyo kwa mtu kama mimi ooh nadhani utawachukia wanawake ever. Wengine sawa ni gen z Ila hizo p, vp, x, na kudondosha maneno kujifanya mjuaji nakuwa nawaza kama neno Nakupenda analiandika lov ue au nakpenda hizo herufi anazipeleka wapi kama anasahau herufi za muhimu ye mimi mwenyewe? Kuweni makini na mabinti wa genz usifanye kitu as mkumbo wengine wako tofauti kabisaa.
 
###NjeYaMada###
Raya Wewe Ni Mzuri....
​
 
Ukiwa hivyo kwa mtu kama mimi ooh nadhani utawachukia wanawake ever. Wengine sawa ni gen z Ila hizo p, vp, x, na kudondosha maneno kujifanya mjuaji nakuwa nawaza kama neno Nakupenda analiandika lov ue au nakpenda hizo herufi anazipeleka wapi kama anasahau herufi za muhimu ye mimi mwenyewe? Kuweni makini na mabinti wa genz usifanye kitu as mkumbo wengine wako tofauti kabisaa.
Hata mimi nakerwa na mtu anayefupisha maneno, lakini imenibidi nifanye tu hivyo ili niendane na Kasi ya vijana. Vijana wengi wengi wanaona kama fasheni 😅
 
Back
Top Bottom