Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
☺️😊Ila huku haja bold maneno kama kawaida yake

Utaskia mvi sio busara maana hata wajinga nao wanazeekaNimegundua ukiwa unachati na binti wa Elfu mbili basi usimalizie maneno.
Nimetambua ya kuwa ukiwa mtu wa kumalizia maneno itaonekana mshamba, yaani hujui kitu na pia si romantic 😅
Andika vp badala vipi itaonekana unajua mapenzi.
Andika nakpend badala ya nakupenda itaonekana mwenye nguvu za kiume.
Andika p badala ya poa utaonekana una uko fair.
Wazee wenzangu tubadilike kupatana na muda.
Cc Dr am 4 real PhD,
Eronda,
Da Dona.
Mmakondeeee🤣🤣🤣Mkuu kubali tu umri umeenda, hawa Gen z aibu utaona wewe aliesoma na ambaye hajasoma hawana tofauti.
Mwenye vidato: Lv ue bby
Zero vidato: Nkpnd sn mpnz
Mmakonde: nmby bdo unmpnd salma au unn chezea tu.
UTI on front door we warn youNimegundua ukiwa unachati na binti wa Elfu mbili basi usimalizie maneno.
Nimetambua ya kuwa ukiwa mtu wa kumalizia maneno itaonekana mshamba, yaani hujui kitu na pia si romantic 😅
Andika vp badala vipi itaonekana unajua mapenzi.
Andika nakpend badala ya nakupenda itaonekana mwenye nguvu za kiume.
Andika p badala ya poa utaonekana una uko fair.
Wazee wenzangu tubadilike kupatana na muda.
Cc Dr am 4 real PhD,
Eronda,
Da Dona.
Gd9tNimegundua ukiwa unachati na binti wa Elfu mbili basi usimalizie maneno.