Mzee wenu nimegundua kitu fulani katika harakati za kutongoza hawa mabinti wa GenZ 😀

Mzee wenu nimegundua kitu fulani katika harakati za kutongoza hawa mabinti wa GenZ 😀

Ukiwa hivyo kwa mtu kama mimi ooh nadhani utawachukia wanawake ever. Wengine sawa ni gen z Ila hizo p, vp, x, na kudondosha maneno kujifanya mjuaji nakuwa nawaza kama neno Nakupenda analiandika lov ue au nakpenda hizo herufi anazipeleka wapi kama anasahau herufi za muhimu ye mimi mwenyewe? Kuweni makini na mabinti wa genz usifanye kitu as mkumbo wengine wako tofauti kabisaa.
😂😂😂😂
 
Mie siwezi kuomba niwe na parody, ni kumuambia tu wee Max em nitoe kwenye Ban, chaap niko huruu.
😂😂😂😂
Kwenye ban ukitolewa Kuna watu wanaanza kulalamika. Watasema fulani anapendelewa.

Bora uwe na parody ambayo inajulikana na inayoheshimu watu wengine humu 😁
 
Kwenye ban ukitolewa Kuna watu wanaanza kulalamika. Watasema fulani anapendelewa.

Bora uwe na parody ambayo inajulikana na inayoheshimu watu wengine humu 😁
Siwezi kuwa na parody, couz siwezi kujificha, nitajulikana chaapu tu.
Hivyo ni wanitoe ktk Ban tu, 😂😂😂
 
Siwezi kuwa na parody, couz siwezi kujificha, nitajulikana chaapu tu.
Hivyo ni wanitoe ktk Ban tu, 😂😂😂
Wala hautakiwi kujificha. Kwa mfano Mimi hata sijifichi, natamba ili wale walionishitaki waone na wabanwe na haja kubwa.

Halafu unataka kuniambia siku ili ilipopigwa ban ya wiki hukuja humu? 🤣
 
Wala hautakiwi kujificha. Kwa mfano Mimi hata sijifichi, natamba ili wale walionishitaki waone na wabanwe na haja kubwa.

Halafu unataka kuniambia siku ili ilipopigwa ban ya wiki hukuja humu? 🤣
Mie nikipigwa Ban, km Max amegoma kunitoa, basi nakuwa buzzy na platforms zingine, siwezi kuwa na maparody.

Yaani siwezi kabisa, 😂😂😂
 
Back
Top Bottom