Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Cognitive dissonance
VpNimegundua ukiwa unachati na binti wa Elfu mbili basi usimalizie maneno.
Nimetambua ya kuwa ukiwa mtu wa kumalizia maneno itaonekana mshamba, yaani hujui kitu na pia si romantic 😅
Andika vp badala vipi itaonekana unajua mapenzi.
Andika nakpend badala ya nakupenda itaonekana mwenye nguvu za kiume.
Andika p badala ya poa utaonekana una uko fair.
Wazee wenzangu tubadilike kupatana na muda.
Cc Dr am 4 real PhD,
Eronda,
Da Dona.
Naijua mie, na hapindui, 😂😂😂😅Unaposema max akigoma kunitoa kwani huwa unatumia id gani kumuomba max akutoe?
Wapuuzie tu papi, wapumbavu everywhere!😅Dah! Napenda sana niishi kwa amani na watu humu ila baadhi yao wananitibua mzee wa watu 😀
Swadaktaaaa!! 😂😂😂Umenikumbusha ule msemo wa "siongei na mbwa, naongea na mwenye mbwa" 😁
Haaahaa 😊 ☺️ Asante sanaaaaaa kutambua uwepo wanguNimegundua ukiwa unachati na binti wa Elfu mbili basi usimalizie maneno.
Nimetambua ya kuwa ukiwa mtu wa kumalizia maneno itaonekana mshamba, yaani hujui kitu na pia si romantic 😅
Andika vp badala vipi itaonekana unajua mapenzi.
Andika nakpend badala ya nakupenda itaonekana mwenye nguvu za kiume.
Andika p badala ya poa utaonekana una uko fair.
Wazee wenzangu tubadilike kupatana na muda.
Cc Dr am 4 real PhD,
Eronda,
Da Dona.
Hakika hakika hakikaHuyu ni kindege bila shaka.
Yeye uzee wake hauji na hekima 😹unakuja na ufala💔😂Huyu mzeee ana matusi mabaya, nikawa najiuliza mmh hivi huyu mtu mbona ana tukana sana kumbe ni Babu Fulani asiejielewa, badala awaze pesa kanawaza mabinti ili kamkimbie mke wake huyu mzeee huyu
Ila huku haja bold maneno kama kawaida yakeHakika hakika hakika