Km kwa😹😎Naona hata wewe unaokoa muda🤔.
Tayari lakini bado bichwa linaniuma sana.Je, umemwona Mwamposa?
Hebu twend PmKm kwa😹😎
Ndiyo maana huwa natembea na dawa yangu ya pressure. Binti akinikwaza tu nabugia dawa.Unahangaika kuvionyesha mvi vitoto vya 2000.I hope unatania.
Na vilivyo na hasira za karibu na kukosa adabu,siku vikikulamba Kofi akili zitakurudia🤣
ASAP 🤣Hebu twend Pm
Bro umeua umemaliza kabisa sidhani kama atarudia kuandika hivyo 😂Mwanmke njo uone.
Hiyo pisi kw Avatar ni ya kwenda mwendo kasi hatari!!! 👌Ukiwa hivyo kwa mtu kama mimi ooh nadhani utawachukia wanawake ever. Wengine sawa ni gen z Ila hizo p, vp, x, na kudondosha maneno kujifanya mjuaji nakuwa nawaza kama neno Nakupenda analiandika lov ue au nakpenda hizo herufi anazipeleka wapi kama anasahau herufi za muhimu ye mimi mwenyewe? Kuweni makini na mabinti wa genz usifanye kitu as mkumbo wengine wako tofauti kabisaa.
Kumbe ndio una akili za hivi 🤔 basi ni halali uniite shoga, sikujua mtu nilie kua natukana naeNimegundua ukiwa unachati na binti wa Elfu mbili basi usimalizie maneno.
Nimetambua ya kuwa ukiwa mtu wa kumalizia maneno itaonekana mshamba, yaani hujui kitu na pia si romantic 😅
Andika vp badala vipi itaonekana unajua mapenzi.
Andika nakpend badala ya nakupenda itaonekana mwenye nguvu za kiume.
Andika p badala ya poa utaonekana una uko fair.
Wazee wenzangu tubadilike kupatana na muda.
Cc Dr am 4 real PhD,
Eronda,
Da Dona.
UTI Mbona hapo amejitahidi sana, hiyo inaandikwa yutiyaiUTI badala ya urinary tract infection
We Babu una matatizoHata mimi nakerwa na mtu anayefupisha maneno, lakini imenibidi nifanye tu hivyo ili niendane na Kasi ya vijana. Vijana wengi wengi wanaona kama fasheni 😅
Ile ya comment ya mwanzo ilipendeza sana Bro😂.Bro umeua umemaliza kabisa sidhani kama atarudia kuandika hivyo 😂
Huyu mzeee ana matusi mabaya, nikawa najiuliza mmh hivi huyu mtu mbona ana tukana sana kumbe ni Babu Fulani asiejielewa, badala awaze pesa kanawaza mabinti ili kamkimbie mke wake huyu mzeee huyuAnatumia pigo za TBT za kuandikiana p ..k....
Labda kama wa kijijini kwao ndo wanakubali izo pigo😹🤣
Ana matusi huyu Babu huyu, inaonekana asha kimbia familiaWazee kama wewe ni hasara Kwa taifa😎