Mzee wenu nimegundua kitu fulani katika harakati za kutongoza hawa mabinti wa GenZ 😀

Mzee wenu nimegundua kitu fulani katika harakati za kutongoza hawa mabinti wa GenZ 😀

Nimegundua ukiwa unachati na binti wa Elfu mbili basi usimalizie maneno.

Nimetambua ya kuwa ukiwa mtu wa kumalizia maneno itaonekana mshamba, yaani hujui kitu na pia si romantic 😅

Andika vp badala vipi itaonekana unajua mapenzi.
Andika nakpend badala ya nakupenda itaonekana mwenye nguvu za kiume.
Andika p badala ya poa utaonekana una uko fair.

Wazee wenzangu tubadilike kupatana na muda.

Cc Dr am 4 real PhD,
Eronda,
Da Dona.
Wazee wa kubebika kwenye mbili na tatu
 
Xaxa je
Lov u
Nkpnd
Ntk chps
Vp
Mamb
Apho vp

Mengine wataongezea Gen z ,me ni Gen Z ila binafsi nakerwa na wanaojibu hivi
 
Ukiwa hivyo kwa mtu kama mimi ooh nadhani utawachukia wanawake ever. Wengine sawa ni gen z Ila hizo p, vp, x, na kudondosha maneno kujifanya mjuaji nakuwa nawaza kama neno Nakupenda analiandika lov ue au nakpenda hizo herufi anazipeleka wapi kama anasahau herufi za muhimu ye mimi mwenyewe? Kuweni makini na mabinti wa genz usifanye kitu as mkumbo wengine wako tofauti kabisaa.
Mkuu kubali tu umri umeenda, hawa Gen z aibu utaona wewe aliesoma na ambaye hajasoma hawana tofauti.
Mwenye vidato: Lv ue bby
Zero vidato: Nkpnd sn mpnz
Mmakonde: nmby bdo unmpnd salma au unn chezea tu.
 
Back
Top Bottom