Mzee wenu nimegundua kitu fulani katika harakati za kutongoza hawa mabinti wa GenZ 😀

Huyu mzeee ana matusi mabaya, nikawa najiuliza mmh hivi huyu mtu mbona ana tukana sana kumbe ni Babu Fulani asiejielewa, badala awaze pesa kanawaza mabinti ili kamkimbie mke wake huyu mzeee huyu
Mkuu sasa tusameheane. Yale matusi nilikuwa nayatoa tu kimasihara. Kama yalikuwa yanakukera, I'm sorry.
 
Nimegundua ukiwa unachati na binti wa Elfu mbili basi usimalizie maneno.

Nimetambua ya kuwa ukiwa mtu wa kumalizia maneno itaonekana mshamba, yaani hujui kitu na pia si romantic 😅

Andika vp badala vipi itaonekana unajua mapenzi.
Andika nakpend badala ya nakupenda itaonekana mwenye nguvu za kiume.
Andika p badala ya poa utaonekana una uko fair.

Wazee wenzangu tubadilike kupatana na muda.

Cc Dr am 4 real PhD,
Eronda,
Da Dona.
Yaani mzee mzima unachat na Gen z!!?...akikutumia msg mpigie ongea vitu vya msingi bwaga Acha kuchati na watoto mkuu
 
Nimegundua ukiwa unachati na binti wa Elfu mbili basi usimalizie maneno.

Nimetambua ya kuwa ukiwa mtu wa kumalizia maneno itaonekana mshamba, yaani hujui kitu na pia si romantic 😅

Andika vp badala vipi itaonekana unajua mapenzi.
Andika nakpend badala ya nakupenda itaonekana mwenye nguvu za kiume.
Andika p badala ya poa utaonekana una uko fair.

Wazee wenzangu tubadilike kupatana na muda.

Cc Dr am 4 real PhD,
Eronda,
Da Dona.
Sawa Mzee
 
ok.🐒
 
Back
Top Bottom