Siku hizi nafupisha sana maneno na matokeo nayaona.
Wengine wanaunganisha maandishi. Hapo ndo nakereka.Mwandikie "nakpeda" badala ya nakupenda.
Natk tufuge doa badala ya nataka tufunge ndoa.
Afu ela nshatm badala ya halafu hela nimeshatuma.
Usiombe huyo mrembo wako wa afu mbili awe wa Tanga, utapasua simu kwa ukataji wake wa maneno. Bora ukachati na mtoto wa la pili utaelewa alichoandika.
Inategemea na jinsi utakavyoiangaliaHii ni kondom?
Ukiwa hivyo kwa mtu kama mimi ooh nadhani utawachukia wanawake ever. Wengine sawa ni gen z Ila hizo p, vp, x, na kudondosha maneno kujifanya mjuaji nakuwa nawaza kama neno Nakupenda analiandika lov ue au nakpenda hizo herufi anazipeleka wapi kama anasahau herufi za muhimu ye mimi mwenyewe? Kuweni makini na mabinti wa genz usifanye kitu as mkumbo wengine wako tofauti kabisaa.
Hata mimi nakerwa na mtu anayefupisha maneno, lakini imenibidi nifanye tu hivyo ili niendane na Kasi ya vijana. Vijana wengi wengi wanaona kama fasheni πUkiwa hivyo kwa mtu kama mimi ooh nadhani utawachukia wanawake ever. Wengine sawa ni gen z Ila hizo p, vp, x, na kudondosha maneno kujifanya mjuaji nakuwa nawaza kama neno Nakupenda analiandika lov ue au nakpenda hizo herufi anazipeleka wapi kama anasahau herufi za muhimu ye mimi mwenyewe? Kuweni makini na mabinti wa genz usifanye kitu as mkumbo wengine wako tofauti kabisaa.
Mi naona mosquito matNamwona tu nguruwe.