Mzee wetu anawatakia weekend mjaarabu

View attachment 1152399

Kila la kheri Mzee wanaokuombea kifo wataanza wao

Hawa wapiga kelele watapita wataicha club km walivyoikuta

Mwanasandaland halisi
Nilidhani huyu Mzee ni Mjanja kumbe ndio wale wale akina Akilimali,Mzee Kilomoni anazunguka na Hati ya Simba,badala ya kuipeleka Benki akavuta Mpunga yeye ni kelele tu ohoo nina Hati,mzee piga hela.
 
Uzalendo haupo hivyo
Nilidhani huyu Mzee ni Mjanja kumbe ndio wale wale akina Akilimali,Mzee Kilomoni anazunguka na Hati ya Simba,badala ya kuipeleka Benki akavuta Mpunga yeye ni kelele tu ohoo nina Hati,mzee piga hela.
 
hawa ndo virusi wa mpira wetu,, Akilimali kufanya migogoro wakati hana uwezo wa kulipa hata mchezaji mmoja mwisho yanga ikaanza kuomba omba, huyu naye analeta migogoro ambayo itazuia simba kufika kule ilikofika msimu uliopita, stupidity!!
sisi tunataka maendeleo ya mpira wenyewe wanaleta siasa, nachukia sana watu kama hawa, hizi timu zingemilikiwa na mtu Mmoja tungeona maendeleo ya kwel siku zote
 
Huyu ndiye mwenye sandaland mkuu
Kwani huyu Mzee kazaliwa lini? Au kaanza kujihusisha na Mpira/Simba lini? Na Sunderland nayo ilianzishwa lini?

Tuanzie hapa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…