Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilidhani huyu Mzee ni Mjanja kumbe ndio wale wale akina Akilimali,Mzee Kilomoni anazunguka na Hati ya Simba,badala ya kuipeleka Benki akavuta Mpunga yeye ni kelele tu ohoo nina Hati,mzee piga hela.View attachment 1152399
Kila la kheri Mzee wanaokuombea kifo wataanza wao
Hawa wapiga kelele watapita wataicha club km walivyoikuta
Mwanasandaland halisi
Kwani huyu Mzee kazaliwa lini? Au kaanza kujihusisha na Mpira/Simba lini? Na Sunderland nayo ilianzishwa lini?Huyu ndiye mwenye sandaland mkuu
Ndio ni Yake si ana HatiKwa hiyo yale majengo ni yake