Mzee Xi Zhongxun (Baba wa Xi Jinping) chanzo cha Special Economic Zones(SEZ) in China 1980

Mzee Xi Zhongxun (Baba wa Xi Jinping) chanzo cha Special Economic Zones(SEZ) in China 1980

TPP

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
650
Reaction score
783
Upi ni mchango wa Mzee Xi Zhongxun( Baba wa Rais wa sasa wa China Xi Jinping ) katika uanzishwaji wa Special Economic Zones katika kukuza uchumi wa China?

220px-Xi_Zhongxun3.jpg

Shenzhen, a miracle that began in 1980
Forty years after its establishment as China's first special economic zone, Shenzhen has emerged as a symbol of the country's reform and opening-up. It has transformed from a fishing village to a sprawling industrial and financial megacity.

Widely dubbed as a "miracle," this coastal city next to Hong Kong not only boasts strong manufacturing capacity and leading innovation, it represents China's efforts in the past several decades to pursue development from scratch.

Before China started opening up its doors to foreign investment and transferring its planned economy toward a market economy starting 1978, Shenzhen was a small village with only 330,000 residents.

Guangdong Province is one of China's richest regions now, but back in 1978, with agriculture as main industry, Guangdong's GDP per capita was only 370 yuan (53.6 U.S. dollars at today's exchange rate), lower than the country's average 156 U.S. dollars in that year, according to data from the Shenzhen government and the World Bank. In the same year, the GDP per capita in Hong Kong was 3,924 U.S. dollars.

The early years of growth were not easy after the People's Republic of China was founded in 1949 from the ruins of the World War II and a civil war with Kuomintang. It stumbled through famine and an unsuccessful "Great Leap Forward," and then a decade of devastating Cultural Revolution (1966-76).

The country was mainly a planned economy similar to that of the Soviet Union. There was little business contact with the West. And the average living standard was far behind the developed world in the 1970s.

With the huge economic gap, many local inhabitants flooded to Hong Kong as illegal immigrants, to pursue better income. Official records show that about 150,000 Guangdong Province inhabitants left their hometown to Hong Kong before the reform and opening-up.

12e0f4d603fb4475ac672152cd72ec97.jpeg

Xi Zhongxun, father of Chinese President Xi Jinping, took the position of the Party head of Guangdong Province in April 1978. He was concerned about the population outflow caused by poverty and determined to make a change.

xi-zhongxun.jpg

Xi Zhongxun's plan was supported by the Party Leaders Deng Xiaoping, who initiated China's reform and opening-up in the same year. He agreed to give Guangdong more autonomy to "take a step forward" than the rest of the country to develop economy and export business.

After a wide range of local surveys, four cities – Guangdong Province's Shenzhen, Zhuhai and Shantou and Fujian Province's Xiamen – were chosen as the first "special economic zones" to establish export businesses. Shenzhen was the first to kick off, officially announced in 1980. The other three followed in the following two years.

Later, Shenzhen attracted investors – the first group was from Hong Kong and Macao – with its low price for land leasing, tariff reduction and simplified investment procedures, which were unique preferential policies at that time when most inland of China had not opened to overseas investment.

It did not take long for Shenzhen's economy to take off – its GDP reached 3.9 billion yuan in 1985, 14 times of that in 1980.

The success of Shenzhen broke the doubts over whether China should turn from planned economy to market economy and encouraged the central government to further open up and develop the whole east coast line.

After witnessing Shenzhen's dramatic change during his first visit to the pilot city in 1984, Deng wrote in his inscription for Shenzhen: "Shenzhen's development and experience prove that the policy of establishing special economic zones is correct."
 
XI SEZ PROPOSAL

Xi Zhongxun to do so, he needed to win over leaders in Beijing skeptical of the market economy.

In meetings in April 1979, he convinced Deng Xiaoping to permit Guangdong to make its own foreign trade policy decisions and to invite foreign investment to projects in experimental areas along the provincial border with Hong Kong and Macau and in Shantou, which has a large overseas diaspora. As for the name of the experimental areas, Deng said, "let's call them, 'special zones', [after all, your] Shaanxi-Gansu Border Region began as a 'special zone'."

Deng added, "The Central Government has no funds, but we can give you some favorable policies." Borrowing a phrase from their guerrilla war days, Deng told Xi, "You have to find a way, to fight a bloody path out."

Xi submitted a formal proposal on the creation of special zones, later renamed special economic zones and in July 1979, the party center and State Council approved the creation of the first four special economic zones.
 
Alifanya kazi yake kwa ubora pasipo kujali magumu aliyo pitia awali
Hata pia mtoto wake amefanya makubwa sana ....kwa nn Tanzania tumeacha kupeleka akili kubwa wakapikwe? Walivyompika SAS daaa acha kbs ....wao wana watu kama rais wa sasa kama 300 hivi wanapikwaa tuuu
 
Hata pia mtoto wake amefanya makubwa sana ....kwa nn Tanzania tumeacha kupeleka akili kubwa wakapikwe? Walivyompika SAS daaa acha kbs ....wao wana watu kama rais wa sasa kama 300 hivi wanapikwaa tuuu
SAS alikuwa mdogo kiumri lakini bora.

Jambo la msingi ili kupata viongozi bora, promotion ya uongozi kutoka ngazi moja kwenda ngazi nyingine lazima izingatie baadhi ya mambo kama
(i) Meritocracy system ichukue nafasi kwa kiasi kikubwa

(ii) Uandikishaji wa wanachama ndani ya vyama vya siasa uwe unatazama ubora wa mwanachama/wanachama na sio wingi wa wanachama

(iii) Elimu na ufahamu wa mambo mbalimbali uzingatiwe ndani ya vyama na serikali

(iv) Uwajibikaji katika ngazi zote ndani ya chama na serikali

(v) Viongozi lazima waoneshe ubora wao toka ngazi za chini za chama na serikali( utendaji kazi )

(vi) Sheria kali na utamaduni wa kuheshimu sheria ndani na nje ya chama na serikali

(vii) Siasa isitawale sana ndani ya nchi bali taaluma

(Viii) Kujuana visiwe vigezo vya kuwa viongozi

(ix) Wananchi wawe ndio priority ya mwanzo kabisa kwa viongozi, serikali na vyama vyote vya siasa hili lifahamike kwa viongozi wote kuwa wana tumikia wenye nchi ambao ndio wananchi

(X) Ukuaji bora wa uchumi wa eneo, jamii na nchi vinapaswa kuwa miongoni mwa vigezo vya mtu kuwa promoted kwenye uongozi toka sehemu moja kwenda sehemu nyengine

Vigezo ni vingi sana vya kuzingatiwa ili kupunguza wingi wa wanasiasa badala ya viongozi

Viongozi wanapaswa kuwa wachache watakao endeleza nchi sio wanasiasa wengi wanao didimiza nchi mfano Tanzania
 
Huwa napenda sana kuangalia documentary za China, huwa nashangaa na kuamini kuwa Wachina ndiyo binadamu wenye akili kuliko wote duniani.

Vijiji vimebadilishwa na kuwa vitovu vikuu vya viwanda na uzalishaji kilimo. Wametumia muda mfupi kufikia maendeleo makubwa sana.

Vijiji ndiyo msingi wa uchumi, Tanzania inahitaji serikali iwekeze kuboresha kilimo na kuinua wananchi kiuchumi na ubunifu.
 
Absolutely.

Mijini kuna mrundikano mkubwa wa watu na mipangilio mibovu ya miji lakini pembezoni mwa miji na vijijini hiyo hali bado haija tapakaa

Pembezoni mwa miji na Vijijini huko ndipo modernization inapaswa kuchukua nafasi kwa mipango ya muda mrefu kutoka sasa

Uchumi wa Viwanda na kilimo unapaswa kuchukua nafasi maeneo hayo

Jambo la msingi ni mpango miji hili ni jambo la msingi sana katika kufanikisha na kurahisisha maendeleo. Tanzania kuna tatizo la mpango miji mpaka sasa halija tatuliwa hili ni tatizo
 
Kutoka kuwa kijiji cha wavuvi mpaka kuwa jiji la Shenzhen na sasa ni Shenzhen Silicon Valley

China ni taifa la kuigwa duniani uzalendo, kuchapa kazi na kuwajibika
Ghuizhou napo pia kuna ukuaji mkubwa sana wa uchumi baada ya kuwa China data valley tofauti na awali.

China ina jaribu kupeleka maendeleo sehemu mbalimbali za nchi hata zisizo fikika kirahisi kwa kubuni mbinu mbalimbali za kiuchumi maeneo tofauti tofauti
 
Zamani kalikuwa kakijiji tu sasa hivi skyscrapers zinanyanyuka tu
 
Zamani kalikuwa kakijiji tu sasa hivi skyscrapers zinanyanyuka tu
Kweli kabisa.

Hilo eneo lilikuwa hali support economic development awali kutokana ardhi yake kukabiliwa na vilima ambavyo ni vikwazo kwa maendeleo lakini sasa limeleta maajabu ya ukuaji wa uchumi kutokana na umuhimu wake katika data storage ajabu kweli hii Province ya Ghuizhou ndio future ya data storage center ya kampuni zote kubwa ndani na nje ya China.
202202187c215921c9e34228b9e732f0da5e5459_667f58a9-05e0-4a52-b783-6975431445ac.jpg
 
Kweli kabisa.

Hilo eneo lilikuwa hali support economic development awali kutokana ardhi yake kukabiliwa na vilima ambavyo ni vikwazo kwa maendeleo lakini sasa limeleta maajabu ya ukuaji wa uchumi kutokana na umuhimu wake katika data storage ajabu kweli hii Province ya Ghuizhou ndio future ya data storage center ya kampuni zote kubwa ndani na nje ya China.
View attachment 2611932
NAKAZIA
 
  • Thanks
Reactions: TPP
Huwa napenda sana kuangalia documentary za China, huwa nashangaa na kuamini kuwa Wachina ndiyo binadamu wenye akili kuliko wote duniani.

Vijiji vimebadilishwa na kuwa vitovu vikuu vya viwanda na uzalishaji kilimo. Wametumia muda mfupi kufikia maendeleo makubwa sana.

Vijiji ndiyo msingi wa uchumi, Tanzania inahitaji serikali iwekeze kuboresha kilimo na kuinua wananchi kiuchumi na ubunifu.
Kuna kipindi kinaitwa amazing China kilikuwa kinarushwa ZBC 1 na channel ten,ukiangalia jinsi wachina walivyopiga maendeleo utaona sisi waafrika hususan watanzania ni Kama tumelaaniwa.

Jamaa wamebadilika kwa muda mfupi sana na wanazidi kusonga kwa Kasi ya ajabu.

Kile kipindi sikioni tena kikirushwa siku hizi.
 
Hata pia mtoto wake amefanya makubwa sana ....kwa nn Tanzania tumeacha kupeleka akili kubwa wakapikwe? Walivyompika SAS daaa acha kbs ....wao wana watu kama rais wa sasa kama 300 hivi wanapikwaa tuuu
Mfumo wa utawala na displine za watu wa Asia na sisi ni mbingu na ardhi. Sisi muhim tuendelee kulogana tu na kushabikia simba na yanga.
 
  • Thanks
Reactions: TPP
Mfumo wa utawala na displine za watu wa Asia na sisi ni mbingu na ardhi. Sisi muhim tuendelee kulogana tu na kushabikia simba na yanga.
Kuna kazi kubwa sana katika kumbadilisha Muafrika aendane na kasi ya dunia inavyo taka.

Ni vigumu Muafrika kuwa kama mtu wa East Asia kwa sababu tamaduni tofauti hata mazingira tofauti lakini Muafrika anaweza kuwa bora kwa nguvu kubwa sana

I prefer "LEGALISM" itumike Afrika na kwa watu wake
 
Kuna kipindi kinaitwa amazing China kilikuwa kinarushwa ZBC 1 na channel ten,ukiangalia jinsi wachina walivyopiga maendeleo utaona sisi waafrika hususan watanzania ni Kama tumelaaniwa.

Jamaa wamebadilika kwa muda mfupi sana na wanazidi kusonga kwa Kasi ya ajabu.

Kile kipindi sikioni tena kikirushwa siku hizi.
China wametumia miaka 30 kufika hapo walipo
 
China wametumia miaka 30 kufika hapo walipo
Bro miaka 30? Ndivyo wanavyotudanganya hawa watu. Hiyo unayosema ni miaka 30 ya kubadili sera zilizowafikisha hapo kilelen sio maendeleo. Walishaendelea long hawa
 
  • Thanks
Reactions: TPP
Bro miaka 30? Ndivyo wanavyotudanganya hawa watu. Hiyo unayosema ni miaka 30 ya kubadili sera zilizowafikisha hapo kilelen sio maendeleo. Walishaendelea long hawa
Kama ambavyo mada imejieleza ikitolea mfano Shenzhen.

kinacho tazamwa ni ufufukaji na ukuaji wa uchumi wa China kutoka chini kwenye umasikini mkubwa na ukuaji mbovu na mdogo wa uchumi kwenda kwenye ukuaji mkubwa na maendeleo ya kasi ya uchumi.

Mabadiliko hayo yalianza hasa miaka ya 1980s baada ya sera ya mageuzi na ufunguaji mkubwa kuidhinishwa China ili kuiokoa nchi na hali mbaya na duni ya kiuchumi hivyo ni sahihi kusema maendeleo ya kasi ya China ya sasa kiuchumi yamefanyika kwa miaka 30-40 iliyo pita

Pia mabadiliko ya kiuchumi ya China toka command economy to socialist market economy ndiyo yaliyo leta maendeleo haya ya kasi unayo ona leo na yote haya yalianza kutendeka miaka ya 1980s
 
Back
Top Bottom