Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro nimekuwa msafir wa hayo maeneo karibu yote far east kwa takriban miaka 20 sasa. Hawa jamaa hawakuwa masikin kwenye levo yetu miaka ya 60 kama wanavyosema. Jamaa walikuwa kwenye maendeleo makubwa tu sema sio haya ya kisasa cku nyingi. Ikiiona Shanghai fujian au hata eneo kubwa la Guangdong province walikuwa wameendelea tayar falme zao. Kulikuwa na mabepar zaman tu huko ni chairman Mao alikuja kuwalazimisha kurud kwenye ujamaa. Na wengi walikimbilia Hong Kong Macau na Taiwan.Kama ambavyo mada imejieleza ikitolea mfano Shenzhen.
kinacho tazamwa ni ufufukaji na ukuaji wa uchumi wa China kutoka chini kwenye umasikini mkubwa na ukuaji mbovu na mdogo wa uchumi kwenda kwenye ukuaji mkubwa na maendeleo ya kasi ya uchumi.
Mabadiliko hayo yalianza hasa miaka ya 1980s baada ya sera ya mageuzi na ufunguaji mkubwa kuidhinishwa China ili kuiokoa nchi na hali mbaya na duni ya kiuchumi hivyo ni sahihi kusema maendeleo ya kasi ya China ya sasa kiuchumi yamefanyika kwa miaka 30-40 iliyo pita
Pia mabadiliko ya kiuchumi ya China toka command economy to socialist market economy ndiyo yaliyo leta maendeleo haya ya kasi unayo ona leo na yote haya yalianza kutendeka miaka ya 1980s
Kinacho tazamwa ni data za kiuchumi katika kuelezea maendeleo sio maneno ya serikali ya ChinaBro nimekuwa msafir wa hayo maeneo karibu yote far east kwa takriban miaka 20 sasa. Hawa jamaa hawakuwa masikin kwenye levo yetu miaka ya 60 kama wanavyosema.
Maendeleo makubwa yapi unayo yazungumzia ?Jamaa walikuwa kwenye maendeleo makubwa tu sema sio haya ya kisasa cku nyingi. Ikiiona Shanghai fujian au hata eneo kubwa la Guangdong province walikuwa wameendelea tayar falme zao.
Utofauti uliopo baina yetu ni katika kuzizungumia China ya sasa na China ya kale.Kulikuwa na mabepar zaman tu huko ni chairman Mao alikuja kuwalazimisha kurud kwenye ujamaa. Na wengi walikimbilia Hong Kong Macau na Taiwan.
China yote imeendelea mkuu ckatai. Ila haikuwa masikin kwenye levo yetu by then. So wao kilichofanyika ni kubadili sera tu wakaanzia kwenye msingi ambao ushakuwa imara tayar. Sasa sisi ni masikin hasa wa akili. Kila mkoa au jimbo unalolijua china lina biashara yake rasmi na utawala wake. So wachina walichofanya kila mkoa wanaangalia nature yake wanawapeleka huko huko. Kingine kwa mfano hapa kwetu unavyoona wachagga wako fasta kila kitu sasa kule kwao watu wa aina hiyo ndio wanawaendeleza na kuingia nao mkataba so wanawatunia kuwaendeleza wengine. So watu mafia na fasta kuliko wote china ni watu kutoka fujian na ndio wako kila idara nyeti nje na ndan ya nchi. Ndio watu wa biashara na secta nyeti zote.Maendeleo makubwa yapi unayo yazungumzia ?
Tambua kuwa China sio Shanghai pekee China ni nchi yote na maendeleo makubwa, ya kati na madogo yanapimwa kwa eneo zima la nchi sio eneo moja au mawili.
Yes, Shanghai ilikuwa imendelea lakini katika hali ya ukawaida tofauti na ukuaji mkubwa uliokuwepo sasa baada ya maamuzi ya nchi ya 1980s
China ina pande mbili kipindi cha falme na kipindi cha usasa hizi ni pande mbili tofauti
Hali ya uchumi mkubwa wa China wa sasa na maendeleo yake makubwa ya kasi haina mahusiano na kipindi cha falme hali hii inapaswa kujadiliwa baada ya kuandwa kwa Jamhuri ya watu wa China 1949
OkChina yote imeendelea mkuu ckatai. Ila haikuwa masikin kwenye levo yetu by then. So wao kilichofanyika ni kubadili sera tu wakaanzia kwenye msingi ambao ushakuwa imara tayar. Sasa sisi ni masikin hasa wa akili. Kila mkoa au jimbo unalolijua china lina biashara yake rasmi na utawala wake. So wachina walichofanya kila mkoa wanaangalia nature yake wanawapeleka huko huko. Kingine kwa mfano hapa kwetu unavyoona wachagga wako fasta kila kitu sasa kule kwao watu wa aina hiyo ndio wanawaendeleza na kuingia nao mkataba so wanawatunia kuwaendeleza wengine. So watu mafia na fasta kuliko wote china ni watu kutoka fujian na ndio wako kila idara nyeti nje na ndan ya nchi. Ndio watu wa biashara na secta nyeti zote.