Mzee Xi Zhongxun (Baba wa Xi Jinping) chanzo cha Special Economic Zones(SEZ) in China 1980

Bro nimekuwa msafir wa hayo maeneo karibu yote far east kwa takriban miaka 20 sasa. Hawa jamaa hawakuwa masikin kwenye levo yetu miaka ya 60 kama wanavyosema. Jamaa walikuwa kwenye maendeleo makubwa tu sema sio haya ya kisasa cku nyingi. Ikiiona Shanghai fujian au hata eneo kubwa la Guangdong province walikuwa wameendelea tayar falme zao. Kulikuwa na mabepar zaman tu huko ni chairman Mao alikuja kuwalazimisha kurud kwenye ujamaa. Na wengi walikimbilia Hong Kong Macau na Taiwan.
 
Reactions: TPP
Bro nimekuwa msafir wa hayo maeneo karibu yote far east kwa takriban miaka 20 sasa. Hawa jamaa hawakuwa masikin kwenye levo yetu miaka ya 60 kama wanavyosema.
Kinacho tazamwa ni data za kiuchumi katika kuelezea maendeleo sio maneno ya serikali ya China

Ni ukweli usiopingika kuwa China haikuwa bora katika ukuaji wa uchumi na maendeleo miaka hiyo ya 1960s unayo zungumza. Nchi ya China ilikuwa inakabilia na matokeo mabaya ya mapinduzi ya kitamaduni yaliyo vuruga uchumi na maendeleo.

Umasikini China miaka hiyo ya 1960s ulikuwepo tena mbaya tofauti na sasa ni mwaka 2020 serikali ilitangaza kukamilisha kuishinda vita ya umasikini China ya muda mrefu iliyokuwa ikipigana

Great leap forward na cultural revolution zili leta matokeo hasi katika uchumi wa China katika miaka ya 1950s mpaka 1970s hivyo ni sahihi kusema kuwa umasikini China ulikuwepo tena mkubwa sana tofauti na kipindi cha miaka ya 1980s na sasa
 
Jamaa walikuwa kwenye maendeleo makubwa tu sema sio haya ya kisasa cku nyingi. Ikiiona Shanghai fujian au hata eneo kubwa la Guangdong province walikuwa wameendelea tayar falme zao.
Maendeleo makubwa yapi unayo yazungumzia ?

Tambua kuwa China sio Shanghai pekee China ni nchi yote na maendeleo makubwa, ya kati na madogo yanapimwa kwa eneo zima la nchi sio eneo moja au mawili.

Yes, Shanghai ilikuwa imendelea lakini katika hali ya ukawaida tofauti na ukuaji mkubwa uliokuwepo sasa baada ya maamuzi ya nchi ya 1980s

China ina pande mbili kipindi cha falme na kipindi cha usasa hizi ni pande mbili tofauti

Hali ya uchumi mkubwa wa China wa sasa na maendeleo yake makubwa ya kasi haina mahusiano na kipindi cha falme hali hii inapaswa kujadiliwa baada ya kuandwa kwa Jamhuri ya watu wa China 1949
 
Kulikuwa na mabepar zaman tu huko ni chairman Mao alikuja kuwalazimisha kurud kwenye ujamaa. Na wengi walikimbilia Hong Kong Macau na Taiwan.
Utofauti uliopo baina yetu ni katika kuzizungumia China ya sasa na China ya kale.

Mada imejikita kuizungumzia China ya sasa hasa baada ya kuundwa kwa Jamhuri ya watu wa China 1949 baada ya kushinda vita
 
China yote imeendelea mkuu ckatai. Ila haikuwa masikin kwenye levo yetu by then. So wao kilichofanyika ni kubadili sera tu wakaanzia kwenye msingi ambao ushakuwa imara tayar. Sasa sisi ni masikin hasa wa akili. Kila mkoa au jimbo unalolijua china lina biashara yake rasmi na utawala wake. So wachina walichofanya kila mkoa wanaangalia nature yake wanawapeleka huko huko. Kingine kwa mfano hapa kwetu unavyoona wachagga wako fasta kila kitu sasa kule kwao watu wa aina hiyo ndio wanawaendeleza na kuingia nao mkataba so wanawatunia kuwaendeleza wengine. So watu mafia na fasta kuliko wote china ni watu kutoka fujian na ndio wako kila idara nyeti nje na ndan ya nchi. Ndio watu wa biashara na secta nyeti zote.
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…