singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Msanii wa muziki yenye mahadhi ya pwani (taarabu) amewataka wasanii wa mbalimbali kuungana na kuipigia kura ya ndio pendekezwa kwa kuwa ina maslahi mapana kwa wananchi.
Mzee Yussuf ameyasema hayo alipokuwa akhojiwa ktk kipindi cha masham sham ya pwani kinachorushwa na ITV' amesema kuwa watanzania waache kulumbana badala yake waisome katiba hiyo.
Pia amewtaka watanzania kwa ujumla kuangalia mambo yanayowahusu na kuacha kuangalia mambo ya watu wengine ktk katiba hiyo.
"Kwa mfano we mkulima ukuona katiba pendekezwa ina maslahi mazuri kwa wakulima ipe kura ya ndio mambo ya wavuvi waachie wenye" akisema mzee Yussuf
Pia amewataka watanzania kutoacha mambo mazuri yaliomo ktk katiba hiyo kwa kushawishiwa na watu wenye maslahi binafsi
Source ITV