Mzee Yussuf awataka wasanii kuipa kula ya ndio katiba pendekezwa

Mzee Yussuf awataka wasanii kuipa kula ya ndio katiba pendekezwa

Tatizo Mbowe,Lissu,Slaa na.Maalim Seif, hawaitaki katiba kwa sababu tu ya kuuvunja muungano. Kifupi hawautaki muungano ndio wanawaburuza wafuasi wao waichukie katiba, kwa mfano muulize mkulima au mfanyakazi au mwanakijiji layman tu wakawaida kwa nini haitaki katiba pendekezwa zaidi ya kukwambia habari za muungano, hatakuwa na sababu ya msingi inayomuhusu yeye personally!

Sasa mimi na wewe kwa nini tuburuzwe na watu? Na ni kwa maslahi yapi? Tuwe wa kweli tuthamini kilicho chetu ambacho tunacho tayari kuliko kutamani kisichopo kwa manufaa tusiyoyajua. Tumia muda wako jielimishe kwa kusoma nakala ya Katiba Inayopendekezwa ambayo tunayo sasa.
 
kwa nn watu tunashindwa kuwa waelewa?matusi si tabia mzuli na hayana mchango wowote hapa.weka heshima mbele ili tuheshimiane
 
Back
Top Bottom