Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ya wasanii, hopeless!
Halafu baada ya siku mbili wanakuja kulalamika eti Sugu kawasahau
Hatuwezi shauriwa na bwabwa.kura ni hapana tuu.
Msanii wa muziki yenye mahadhi ya pwani (taarabu) amewataka wasanii wa mbalimbali kuungana na kuipigia kura ya ndio pendekezwa kwa kuwa ina maslahi mapana kwa wananchi.
Mzee Yussuf ameyasema hayo alipokuwa akhojiwa ktk kipindi cha masham sham ya pwani kinachorushwa na ITV' amesema kuwa watanzania waache kulumbana badala yake waisome katiba hiyo.
Pia amewtaka watanzania kwa ujumla kuangalia mambo yanayowahusu na kuacha kuangalia mambo ya watu wengine ktk katiba hiyo.
"Kwa mfano we mkulima ukuona katiba pendekezwa ina maslahi mazuri kwa wakulima ipe kura ya ndio mambo ya wavuvi waachie wenye" akisema mzee Yussuf
Pia amewataka watanzania kutoacha mambo mazuri yaliomo ktk katiba hiyo kwa kushawishiwa na watu wenye maslahi binafsi
Source ITV
Acha uongo kwako umejaza cd na DVd za wasanii kibao za bongo unataka kutuambia nini acha unafiki!
Mhhh, kwa heri siku njema!
Halafu baada ya siku mbili wanakuja kulalamika eti Sugu kawasahau
Vp kuna nini hapo?
Usitake kutukera imba taarbu iyo ndo sehemu yako yamaisha subir kampen zianze ufanye ziara na chama chako mambo mengne usiguse achana nayo
Aweke hoja gani sasa mkuu, kusema we kwenye katiba angalia maslahi yako mengine achana nayo ndo hoja hiyo kweli, kwenye katiba kuna maslahi mama, kama ilivyo katiba yenyewe kuwa ndo sheria mama, so cha muhimu angalia maslahi Mama yamekaaje, ndo hayo ya mmoja mmoja sasa yatatekelezeka, mfano muundo wa serikali, teuzi za viongozi maadili na uwajibikaji kwa watumishi wa uma na mengine yafananayo na hayo, hayo yakiwa sawa uhakika wa mkulima au mvuvi kujaliwa ni mkubwaWeka hoja ndugu mbona unatoa mapovu tuuu??
Aweke hoja gani sasa mkuu, kusema we kwenye katiba angalia maslahi yako mengine achana nayo ndo hoja hiyo kweli, kwenye katiba kuna maslahi mama, kama ilivyo katiba yenyewe kuwa ndo sheria mama, so cha muhimu angalia maslahi Mama yamekaaje, ndo hayo ya mmoja mmoja sasa yatatekelezeka, mfano muundo wa serikali, teuzi za viongozi maadili na uwajibikaji kwa watumishi wa uma na mengine yafananayo na hayo, hayo yakiwa sawa uhakika wa mkulima au mvuvi kujaliwa ni mkubwa
Katiba Mpya siyo Kukata Mauno Kwenye Taarabu.
Sasa kwani kampeni zimeanza lini? si ndiyo leo zimeanza na yeyey ndo maana kaanza. Wewe wa wapi wewe usiyejua hata taarifa yani hata hujui linaloendelea kwa sasa, je kwa namna hiyo utaijua Katiba Inayopendekezwa?
Msanii wa muziki yenye mahadhi ya pwani (taarabu) amewataka wasanii wa mbalimbali kuungana na kuipigia kura ya ndio pendekezwa kwa kuwa ina maslahi mapana kwa wananchi.
Mzee Yussuf ameyasema hayo alipokuwa akhojiwa ktk kipindi cha masham sham ya pwani kinachorushwa na ITV' amesema kuwa watanzania waache kulumbana badala yake waisome katiba hiyo.
Pia amewtaka watanzania kwa ujumla kuangalia mambo yanayowahusu na kuacha kuangalia mambo ya watu wengine ktk katiba hiyo.
"Kwa mfano we mkulima ukuona katiba pendekezwa ina maslahi mazuri kwa wakulima ipe kura ya ndio mambo ya wavuvi waachie wenye" akisema mzee Yussuf
Pia amewataka watanzania kutoacha mambo mazuri yaliomo ktk katiba hiyo kwa kushawishiwa na watu wenye maslahi binafsi
Source ITV
Usitake kutukera imba taarbu iyo ndo sehemu yako yamaisha subir kampen zianze ufanye ziara na chama chako mambo mengne usiguse achana nayo
Sebooo kama wewe katiba inayopendkezwa inakukera jua wazi wako watanzania kibao wanaiunga mkono, vumilia hivyo hivyo na utulie usijifanye IS ndani ya Tz hatuna muda wa kulumbana hapa.