Mzee Yussuf awataka wasanii kuipa kula ya ndio katiba pendekezwa




Baba mlezi umechangia vizuri kabisa ila umeonekana kumshambulia huyo Yusuph kwa mambo yake binafsi jaribu kuelewa hoja vizuri kabla ya kuchangia!
 
Huyo baba Mlezi wa nini walevi, wanywa gongo au machangudoa mbona sikuelewi unaleta mipasho kwa Yusufu we una ajenda gani niambie umeshaminywa vingapi hadi unajifanya kuwatetea wakulima,wafanyabiashara na wafanyakazi? Usidandie mada utaumia bure.
 
Huyo baba Mlezi wa nini walevi, wanywa gongo au machangudoa mbona sikuelewi unaleta mipasho kwa Yusufu we una ajenda gani niambie umeshaminywa vingapi hadi unajifanya kuwatetea wakulima,wafanyabiashara na wafanyakazi? Usidandie mada utaumia bure.

Kwani lazima kuchangia ndugu
 
Baba mlezi umechangia vizuri kabisa ila umeonekana kumshambulia huyo Yusuph kwa mambo yake binafsi jaribu kuelewa hoja vizuri kabla ya kuchangia!

Sijaichangia hoja yake yote nimeanzia hapo kwenye aya ya pili,kuwa angalia mambo yako tu ya wengine uyaache.Sidhani kama nimemshambulia ila hajatenda haki kuwa katiba nzima kama mie ni mwanamuziki basi niangalie kipemgere cha muziki tu huo ni Ujuha
 
Sawa na wewe mbona unazidisha povu? hayo yote yameelezewa katika Katiba Inayopendekezwa vizuri kabisaaaa. sasa tafuta jingine hayo yamo.

Ndo umsahihishe mpumbavu mwenzio Mzee eti hayo yote tusisome tusome tu sehemu inayotuhusu,sasa tutajuaje kama hayo yamo.Akili nyingine hata za kuku zina nafuu
 
Wanajichimbia makaburi yao wao wenyewe bila kujijua, Katiba hii itapita kwa nguvu zote, na aibu itakuwa kwao.

Upigaji kura wenyewe haujulikani ni lini,eti katiba itapita kwa nguvu zote na wala sio kwa hoja nchi ya kidikteta hii.Upuuzi mtupu
 
wote hapo chini ni watetezi wa rasimu ya chenge,wote mmejiunga march kwa kazi hii ya kuipigia debe kwa malipo ya posho,nakwakukosa busara mtaanza kunishushia matusi kama kawaida yenu....

pwanikwetu-Join Date : 11th March 2015
RAPTOR 22-Join Date : 31st March 2015
Tumainimungu-Join Date : 31st March 2015
Ebola Hatari-Join Date : 16th March 2015
singidadodoma-Join Date : 21st March 2015
UFO_ALIEN-Join Date : 10th March 2015
USIEMPENDA KAJA-Join Date : 14th March 2015

cc: Baba mlezi,Mwembebasha, Jile79, dureal seboo, clemence, Mwananchi, Uliza_Bei, Horseshoe Arch, Ryaro wa Ryaro, lukindo,LENGIO,Hiram Abiff, bruno castol
 
Leta fact kujiunga jana juzi hata leo is noy issue leta fact kunguni
 
Kweli Masumari wa mzee yussuf umewachoma wabwia ugolo na wanywa gongo maana mapovu yanawatoka si mchezo
 
Leta fact kujiunga jana juzi hata leo is noy issue leta fact kunguni

Kudharauliana na kutukanana sii tabia nzuri katika mjadala, hivi kwa akili ya kawaida tu! kunguni anaweza kuwa member wa JF? are you serious? be generous to JF followers and readers.Credibility ya Jukwaa hili ambalo liliaminiwa sana kwa kujenga hoja ilikuwa juu sana. Lakini kwa mtindo huu wa matusi! mmmmmm naamini itashuka, kwa maana hiyo JF itapungukiwa na wasomaji wenye hekima na busara kuingia humu na kupata elimu nzuuuuuri kwa familia na jamii kwa ujumla. Kwasababu hawatapata walichofikiri wanahitaji badala yake waambulia kusoma matusi tuuuuuuuuu! Chonde chonde
 
Yaani kenge km huyu anaruhusiwa kuwaambia watu aina ya kura ya kupiga alafu maaskofu hapana!!!!!

Kwani maaskofu ndio kina nani katika nchi hii...mpaka wawaamulie watu namna ya kupiga kura....waishie huko huko makanisani kwa kuwafungisha ndoa mapunga wenzao..maana baadhi yao wameshaolewa huku wanaendesha misa....
 

Tatizo Mbowe,Lissu,Slaa na.Maalim Seif, hawaitaki katiba kwa sababu tu ya kuuvunja muungano. Kifupi hawautaki muungano ndio wanawaburuza wafuasi wao waichukie katiba, kwa mfano muulize mkulima au mfanyakazi au mwanakijiji layman tu wakawaida kwa nini haitaki katiba pendekezwa zaidi ya kukwambia habari za muungano, hatakuwa na sababu ya msingi inayomuhusu yeye personally!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…