Mzee Yusufu kumtema mkewe baada ya kugoma kuacha kuimba taarabu kama alivyofanya

Mzee Yusufu kumtema mkewe baada ya kugoma kuacha kuimba taarabu kama alivyofanya

Sawa mkuu maana jina lako tu linajitosheleza kusadiki kilichopo kichwani mwako....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Siku zote shetani hukimbiliwa sana tu, na mungu wa mzungu Ndio yule mzungu aliyevaa nepi au yupi?
 
Kwani sababu zilizo mfanya ampende tuna zijua? Kama sio hata kama wakiachana hutuhusiki, lakini wangapi wanaacha wake zao kwa sababu tofauti tofauti na huenda zikawe za kijinga tu? Mtu anae mshauri mema mke wake ni kheri
 
Anamtafutia sababu tu huyo mwanamke ili amuache. Kutunza wake wawili ni ghali. Anataka kupunguza mmoja. Hizo taarabu yeye si ndo kawafundisha kuimba, leo hizohizo zinageuka kigezo cha kuacha [emoji57][emoji57]
Sasa kama alimfundisha anashindwa ni ni kuamini anapo ambiwa ache sasa
 
Kwenye ndoa na maisha ya kawaida hakuna haki isiyo na mipaka
 
Wanawake wangapi walio olewa wamekatazwa baadhi ya mambo kutofanya?
Kama jibu ni ndio, basi tumwache amukataze asilo lipenda mkewe afanye
 
Sasa mtu umemrudia Mungu, alafu unazirudia KiKi...
Kwani hawezi kuishi bila kiki?
 
Ngoja nijiandae kuposa cku akimpa talaka bibie,huwa nadata kwa vingi nae huyo mkewe
 
huo mziki ni wa vijembe na kutukanana tuu siku nzima
 
Siku zote shetani hukimbiliwa sana tu, na mungu wa mzungu Ndio yule mzungu aliyevaa nepi au yupi?
Heri mzungu wa nepi amewazesha wawe na akili ya kuitawala dunia kisayansi,kiuchumi na kiteknolojia kuliko huyu Mungu wa Kiarabu(Allah) ambae ameshindwa kabisa kuwawezesha Waarabu na waislamu kielimu na matokea yake wamekuwa wa mwisho duniani kwa ujinga kwani hata ule uwezo wa kutengeneza hata pini tu ya kufungia bambasi hawawezi katu!!.
 
Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Heee basi sawa vyuma vimekaza anataka kubana matumiz abaki na one wife[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom