miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
MmmhMume ni kichwa cha familia
Sasa usi-mdrive
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmhMume ni kichwa cha familia
Sasa usi-mdrive
Hahahaha aiseee!kwani peponi wanabebana .. amuache atakapo ona umuhimu wa kuacha ataacha mwenyewe..kwani mzee yusufu nani alikusgurutisha kuacha?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa mkuu maana jina lako tu linajitosheleza kusadiki kilichopo kichwani mwako....
Siku zote shetani hukimbiliwa sana tu, na mungu wa mzungu Ndio yule mzungu aliyevaa nepi au yupi?Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Masharti ya mganga yanacost
Kwani sababu zilizo mfanya ampende tuna zijua? Kama sio hata kama wakiachana hutuhusiki, lakini wangapi wanaacha wake zao kwa sababu tofauti tofauti na huenda zikawe za kijinga tu? Mtu anae mshauri mema mke wake ni kheriMungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Sasa kama alimfundisha anashindwa ni ni kuamini anapo ambiwa ache sasaAnamtafutia sababu tu huyo mwanamke ili amuache. Kutunza wake wawili ni ghali. Anataka kupunguza mmoja. Hizo taarabu yeye si ndo kawafundisha kuimba, leo hizohizo zinageuka kigezo cha kuacha [emoji57][emoji57]
Nimekulike kwa bahti mbaya! ila we ni agent wa shetani dhahiri"MKE MWEMA ANATOKA KWA BWANA"...... amwache tumuoneshe jinsi ambavo hatujui kuremba. On behalf of ME MYSELF AND I
ubarikiwe we agent wa upakoNimekulike kwa bahti mbaya! ila we ni agent wa shetani dhahiri
Heri mzungu wa nepi amewazesha wawe na akili ya kuitawala dunia kisayansi,kiuchumi na kiteknolojia kuliko huyu Mungu wa Kiarabu(Allah) ambae ameshindwa kabisa kuwawezesha Waarabu na waislamu kielimu na matokea yake wamekuwa wa mwisho duniani kwa ujinga kwani hata ule uwezo wa kutengeneza hata pini tu ya kufungia bambasi hawawezi katu!!.Siku zote shetani hukimbiliwa sana tu, na mungu wa mzungu Ndio yule mzungu aliyevaa nepi au yupi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.