Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,894
Sawa ni upande mwingine, je sipaswi kujua / kupata jibu la swali nililouliza?Hahahaha lazima utakua wa upande wa pili wewe maana si kwa maswali haya ya kijahili,
Na kama ni muislam hlf hujui kama mziki ni haram basi una matatizo.
anyway, waislam wenyewe wanajua na kuelewa so wewe potezea.
Kuhusu taraweh nimeshindwa kuelewa unataka niizungumzie kwa mantiki ipi?
Maana Taraweh ni katika swala za sunna ziswaliwazo kipindi cha Ramadhan tukufu,
Sasa sijui ulitaka kufaham nini.