Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

Sawa ni upande mwingine, je sipaswi kujua / kupata jibu la swali nililouliza?
 
Umenena vema mkuu, ila ndio mambo ya iman hayo kama ni katazo ni katazo tu hata kama halina mantiki
Mungu ndie anaekataza sasa katazo lake kama halina mantiki kwa watu wake aliewaumba basi huyu Mungu atakuwa na walakini au anaweza akawa si Mungu wa kweli bali mungu-mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…