Kafuata mambo ya akhera ambayo hayana tija yoyote ktk hii dunia halisi!Pole sana ndio gharama ya kuiacha dunia na mambo yake
Allah akutie moyo SHEIKH!Aliyekuwa Msanii nguli wa Taarab nchini Mzee Yusuph amesema kwa sasa maishayake yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki
Baada ya kuacha muziki anadai alijaribu shughuli nyingine ikiwemo kufungua duka Kariakoo lakini duka likafeli, lakini anasema maisha yamekuwa ya amani kuliko zamani na hata mtu akimuomba hela haogopi kumwambia hana kwa sababu hana kazi
Pia alipoacha muziki alikuwa ameshachukua milioni 25 za show na alipoulizwa itakuje na show alizochukua hela alisema Allah ndio atajua
Kama ameamua kumtumikia Mungu basi hilo lisimtishe kwani njia ya kwenda mbinguni sio lelemama,aendelee tu bila ya kukata tamaa mwenyezi atamuwekea wepesi,hayo ni majaribu tu ya shetani.Aliyekuwa Msanii nguli wa Taarab nchini Mzee Yusuph amesema kwa sasa maishayake yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki
Baada ya kuacha muziki anadai alijaribu shughuli nyingine ikiwemo kufungua duka Kariakoo lakini duka likafeli, lakini anasema maisha yamekuwa ya amani kuliko zamani na hata mtu akimuomba hela haogopi kumwambia hana kwa sababu hana kazi
Pia alipoacha muziki alikuwa ameshachukua milioni 25 za show na alipoulizwa itakuje na show alizochukua hela alisema Allah ndio atajua
mkuu nakusalimiaKumekucha..Hali mbaya
Ofcorse ndo pesa ilikuwa inaingilia apo duhAngeendelea tu kutoa burudani ajiingizie kipato chake maana mwenyezi Mungu ndiyo kampa hicho kipaji.
kama kulima au lahhAjitafakari mwenyewe aangalie anafanya nini
Kwa imani zote mbili. Ndio maana Waislam wanarekodi kaswida na kuuza huo pia ni mziki.Muziki si dhambi kwa imani unayoiamini wewe au imani anayoaminj mzee yussuf?
Fresh fresh mkuumkuu nakusalimia
Si ampe na hela ili apunguze kulialia kama mtoto mdogo sasa.Ipe mgongo dunia atakupenda Mwenyez Mungu