Mzee Yusuph: Maisha yangu yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki

Mzee Yusuph: Maisha yangu yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki

Aliyekuwa Msanii nguli wa Taarab nchini Mzee Yusuph amesema kwa sasa maishayake yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki
Baada ya kuacha muziki anadai alijaribu shughuli nyingine ikiwemo kufungua duka Kariakoo lakini duka likafeli, lakini anasema maisha yamekuwa ya amani kuliko zamani na hata mtu akimuomba hela haogopi kumwambia hana kwa sababu hana kazi
Pia alipoacha muziki alikuwa ameshachukua milioni 25 za show na alipoulizwa itakuje na show alizochukua hela alisema Allah ndio atajua

Allah akutie moyo SHEIKH!
 
Kama ameamua kumtumikia Mungu basi hilo lisimtishe kwani njia ya kwenda mbinguni sio lelemama,aendelee tu bila ya kukata tamaa mwenyezi atamuwekea wepesi,hayo ni majaribu tu ya shetani.
 
Sasa analalamika nini?

Apambane na hali yake.....

Wamtumainiao BWANA hawatatikisika milele daima. ...
 
Alalamike mmoja wa waimbaji wake, lakini si mkulu mwenyewe Mzee Yusuph.
 
mzee yusuph angeenipa jina lake tu mjini hapa nifungue hata mgahawa nipate ela mie...yaani wengne tunaomba usiku na mchana tutoke...mwenzetu hana habari kabsaa...Mungu anakazi sanah
 
sijui alishauliwa na nani jamani...hakukuwa na ulazima huooo..mbna wakati nataka kutoka alikuwa naomba radhi kwa mashabiki wanue kazi yake
 
mwingne ukimuuliza kwani kuokoka manaake n hajui....kukicha kanisani..akirudi nyumbani njaa kali...sasa sijui Mungu ashuke au lah
 
nayo hiyo tusme mipango ya Mungu au...maana una kitu ch kukupaia kipato unakikimbia...mmhh
 
Back
Top Bottom