Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
aishinde mitihani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kama aliroga na kuwafanya watu misukule hapo asitubu?Ni bahati mbaya kwamba wengine tunadandia Maandiko Matakatifu kwa mbele.Mungu anaposema hayo juu ya kujikana hamaanishi kuacha kujishughulisha kwa ajili ya mahitaji ya uzima Wa kimwili.Uzima Wa kimwili na kiroho ni vitu vinahitajiana.Na mwishoni mwa nyakati miili ya wote waliokwisha kulala mauti itafufuliwa ili iungane na Roho ama iwe kufaidi uzima au Moto Wa Milele.Kwa hiyo kujipatia ridhiki kwa njia halali sio dhambi na wala huo sio msalaba.
Mzee Yusufu mimi sielewi kwa nini aliacha mziki.Mziki sio dhambi.Mziki ni kistarehesho cha akili.Akili ndio Engine ya mwili na nafsi.Ikiwa Yusufu aliacha mziki kwa sababu za kiafya au kustaafu tu au sababu nyingineyo nje ya kuona kwamba alikuwa anafanya kazi ya "kikafiri" sioni issue katika suala lake.Ila kama alishauriwa kuwa kazi aliyokuwa anaifanya ingempeleka jehanamu basi alikuwa ameingizwa mkenge.Dhambi huja tu pale mhusika anapotumia kazi hiyo kuwaletea watu wengine ama yeye mwenyewe madhara kwa makusudi.Kwa mfano Yusufu katika kupiga Taarabu angekuwa anawauza watazamaji kwa ngono hiyo ingemsabibishia Yusufu dhambi.Ni Yusufu pekee anakuwa na dhambi tu na wala sio Taarabu yenyewe(fani),vyombo vya mziki anavyotumia na/au ukumbi wenyewe Wa mziki.Kwa Wakiristo wataelewa hili suala vizuri.Yesu alipowachapa wale Wayahudi waliokuwa wanafanya biashara ya kuuza njiwa Kanisani aliwachapa wauzaji tu na wala hakukataza watu wasiendelee kuuza njiwa na/au hakubomoa hekalu ambamo biashara ile ilikuwa inafanyika.Vitu hawezi kutenda dhambi na haviwezi kuwa na dhambi baada ya mtumiaji kuvitumia kutekeleza dhambi husika.
Na hata kama Yusufu alikuwa nyimbo za maudhui mabaya dhambi inakuwa kwake lakini wimbo au madhui yenyewe haviwezi kuadhibiwa.
Kwa hiyo Yusufu iwapo anaona mambo "yanabana" kivile arudi tu apige kazi.Kwa mziki wake watu wengine walikuwa wanapoteza stress.Wengine walikuwa wanapata uhai mpya Wa kiakili na kimwili na hivi kufanya kazi kwa nguvu tena baada ya uchovu.Kwa mziki wake alikuwa anawasaidia wenye ndoa kuburudika na hivi ku-extend lifespan ya ndoa zao.Kwa mziki wake nchi ilipata kodi.Kwa kodi wagonjwa walipata dawa hospitalini.Watu walilipwa mishahara kwa mziki.Wanafunzi walisoma kwa mziki wake na msururu kibao Wa manufaa.
Kwa hiyo ikiwa watu walikuja "kumtongoza" kuwa angeenda mtoni kwa mziki wake basi huyo aliingizwa chaka.Ataenda Motoni kwa matendo yatokanayo na fani husika ikiwa hakutumia akili kuchenjua mabaya na mema.
Kila atakaekunifuata, ajikane mwenyewe, aubebe msalaba wake anifuate..
Itamfaidia nini mtu akiupata ulimwengu wote akaukosa uzima wa milele na nafsi yake kupotea?
Hayo ni maneno ya kwenye Biblia
Alizan kuoa wengi ndo kashindamaisha ni kupanga na kuchagua
KulalamikaUkipata kitu kirahisi pia kitaondoka kirahisi! Piga Kazi acha kulalamika ndugu Yusuph
kumbe kujipotezaAlizan kuoa wengi ndo kashinda
Muziki si dhambi kwa imani unayoiamini wewe au imani anayoaminj mzee yussuf?Ni bahati mbaya kwamba wengine tunadandia Maandiko Matakatifu kwa mbele.Mungu anaposema hayo juu ya kujikana hamaanishi kuacha kujishughulisha kwa ajili ya mahitaji ya uzima Wa kimwili.Uzima Wa kimwili na kiroho ni vitu vinahitajiana.Na mwishoni mwa nyakati miili ya wote waliokwisha kulala mauti itafufuliwa ili iungane na Roho ama iwe kufaidi uzima au Moto Wa Milele.Kwa hiyo kujipatia ridhiki kwa njia halali sio dhambi na wala huo sio msalaba.
Mzee Yusufu mimi sielewi kwa nini aliacha mziki.Mziki sio dhambi.Mziki ni kistarehesho cha akili.Akili ndio Engine ya mwili na nafsi.Ikiwa Yusufu aliacha mziki kwa sababu za kiafya au kustaafu tu au sababu nyingineyo nje ya kuona kwamba alikuwa anafanya kazi ya "kikafiri" sioni issue katika suala lake.Ila kama alishauriwa kuwa kazi aliyokuwa anaifanya ingempeleka jehanamu basi alikuwa ameingizwa mkenge.Dhambi huja tu pale mhusika anapotumia kazi hiyo kuwaletea watu wengine ama yeye mwenyewe madhara kwa makusudi.Kwa mfano Yusufu katika kupiga Taarabu angekuwa anawauza watazamaji kwa ngono hiyo ingemsabibishia Yusufu dhambi.Ni Yusufu pekee anakuwa na dhambi tu na wala sio Taarabu yenyewe(fani),vyombo vya mziki anavyotumia na/au ukumbi wenyewe Wa mziki.Kwa Wakiristo wataelewa hili suala vizuri.Yesu alipowachapa wale Wayahudi waliokuwa wanafanya biashara ya kuuza njiwa Kanisani aliwachapa wauzaji tu na wala hakukataza watu wasiendelee kuuza njiwa na/au hakubomoa hekalu ambamo biashara ile ilikuwa inafanyika.Vitu hawezi kutenda dhambi na haviwezi kuwa na dhambi baada ya mtumiaji kuvitumia kutekeleza dhambi husika.
Na hata kama Yusufu alikuwa nyimbo za maudhui mabaya dhambi inakuwa kwake lakini wimbo au madhui yenyewe haviwezi kuadhibiwa.
Kwa hiyo Yusufu iwapo anaona mambo "yanabana" kivile arudi tu apige kazi.Kwa mziki wake watu wengine walikuwa wanapoteza stress.Wengine walikuwa wanapata uhai mpya Wa kiakili na kimwili na hivi kufanya kazi kwa nguvu tena baada ya uchovu.Kwa mziki wake alikuwa anawasaidia wenye ndoa kuburudika na hivi ku-extend lifespan ya ndoa zao.Kwa mziki wake nchi ilipata kodi.Kwa kodi wagonjwa walipata dawa hospitalini.Watu walilipwa mishahara kwa mziki.Wanafunzi walisoma kwa mziki wake na msururu kibao Wa manufaa.
Kwa hiyo ikiwa watu walikuja "kumtongoza" kuwa angeenda mtoni kwa mziki wake basi huyo aliingizwa chaka.Ataenda Motoni kwa matendo yatokanayo na fani husika ikiwa hakutumia akili kuchenjua mabaya na mema.
Ni bora wangekuwa vimada tuuukumbe kujipoteza
kabisa angewapunguza hapo analoNi bora wangekuwa vimada tuuu