Mzee Yusuph Makamba: Nampongeza Rais Samia kwa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, asema isiwe mshangao wakirudishwa

Mjinga tu huyo.
 
Time hii akiandaa katuni atamfwata yule jeuri wa Londo

Kima achekewi kwenye mahindi mara mbili kaka

Jiwe aliambiwa fyatua akawa na huruma ndio mistake kubwa kabisa🔊🔊
Kwamba fyatua!!

Magu alikuwa na huruma sana,

Yuaja mfyatuzi wa kutumia HEKIMA!!
 
Time hii akiandaa katuni atamfwata yule jeuri wa Londo

Kima achekewi kwenye mahindi mara mbili kaka

Jiwe aliambiwa fyatua akawa na huruma ndio mistake kubwa kabisa🔊🔊

yeah ndiyo maana Dunia iko jinsi ilivyo, its good against evil, hivyo hata yeye mtumbuaji kama hajajua kwamba evil exists kitakachokuja kumpata hatokisahau kama akisurvive kwani wao hawatakuwa na huruma naye wakipata nafasi …
 
Now red flag iko juu

Wakibpu wanapigiwa kwa Head alafu wanakosa pa kujishika

Now hakuna tena huruma mkuu watulie tuli
 
Time hii akiandaa katuni atamfwata yule jeuri wa Londo

Kima achekewi kwenye mahindi mara mbili kaka

Jiwe aliambiwa fyatua akawa na huruma ndio mistake kubwa kabisa
Baba anasukuma kete awkward cause he knows the reason,Malkia hana simile kupress batani wala hajali.
Siyo mwenzao hata juzi alikuwa majini kwao mwaka huu ngoma inogile na Kuna yule kapelekwa Kilimanjaro ili kufikisha ujumbe ironically.Mnamdharau sababu kavaa sketi lakini ni nyang'au zaidi ya jiwe.
 
Ana umuhimu kwako
 
Tenguzi Kwa makamba ni faida kwake.maana ameondika na bilioni mia sita kwenye wizara yake ya mambo ya nje.maana alijua muda wowote atatoka na kuanza kuchota pesa mapema kabisa .
Pesa nyingi amepiga wakati yupo nishati
 
Tenguzi Kwa makamba ni faida kwake.maana ameondika na bilioni mia sita kwenye wizara yake ya mambo ya nje.maana alijua muda wowote atatoka na kuanza kuchota pesa mapema kabisa .
Hiv unafahamu bajeti ya wizara ya mambo ya nje kwa mwaka huu ni kiasi gani? Haizidi bilioni 200 na ndo kwanza mwaka wa fedha umeanza. Sasa hzo bilioni 600 kaziiba kutoka fungu gani?
 
Vizuri
 
Ni yule wa pale chalinze?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…