- Thread starter
- #41
Anawashukuria🤔Mawaziri wenyewe waliotumbuliwa Wameshindwa kushukuru nafasi waluzotumikia ndio huyu babu aje kuwasemea?
Hawafai kurudisha barazani
Sasa dogo janja ana muda huo?
Usijekuta anaandaa zile katuni zake muda huu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anawashukuria🤔Mawaziri wenyewe waliotumbuliwa Wameshindwa kushukuru nafasi waluzotumikia ndio huyu babu aje kuwasemea?
Hawafai kurudisha barazani
Mjinga tu huyo.Salaam Shalom!!
Mzee wetu ameibuka na Kutoa Pongezi kedekede Kwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan Kwa uamuzi mzuri aliofanya kuwabadili baadhi ya mawaziri, mtoto wake akiwemo.
Amemfananisha Rais na Coach jinsi anavyobadili kikosi, Nia ni ushindi.
Ameenda mbali na kuwapongeza waliotumbuliwa akidai pia wanastahili Pongezi Kwa kuwa wamemsaidia Rais Kwa muda waliokuwa mamlakani.
Itoshe kusema kuwa, Mzee huyu naye ni MMOJA wa wazee muhimu waliobaki, tuwatumie.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Source: Mahojiano, Wasafi media.
Karibuni 🙏
======
Mwandishi: Mzee Makamba bwana, tumeona mabadiliko ya Baraza la mawaziri!
Makamba: Wewe unashangaa nini?
Mwandishi: Sishangai mzee Makamba, naangalia picha yako unavyoangalia na mheshimiwa Rais anavyoboresha
Makamba: Sawa labda nikwambie mambo mafupi tu! Halooo
Mwandishi: Nakusikia Mzee Makamba
Mzee Yusuph Makamba: Hivi kocha wa Simba akimtoa mchezaji unamlaumu? Mambo mawili yanayoweza kumfanya amtoe mchezaji, mwingine anaweza akawa hana makosa lakini amechoka, pumzi zimeisha lakini pumzi zikirudi anamrudisha tena maana hawa ambao leo wametolewa, walikuwemo wakatoka na wamerudi tena.
Kwahiyo usije ukashangaa tena mwingine akarudi baadae, jambo la kawaida tu. Nasema Rais ni kocha, kazi ya kocha ni kuhakikisha kwamba magoli yanafungwa.
Kwahiyo anatazama, je katika kipindi hiki nani mchezaji bora kuliko mwingine anamchukua na hawa anawapumzisha.
Kwahiyo tunampongeza Rais kwa uteuzi alioufanya, tunawapongeza walioteuliwa na tunawapongeza na hata hawa wameondolewa, wanapaswa kushukuru maana si walikuwemo?
Time hii akiandaa katuni atamfwata yule jeuri wa LondoAnawashukuria🤔
Sasa dogo janja ana muda huo?
Usijekuta anaandaa zile katuni zake muda huu!!
Kwamba fyatua!!Time hii akiandaa katuni atamfwata yule jeuri wa Londo
Kima achekewi kwenye mahindi mara mbili kaka
Jiwe aliambiwa fyatua akawa na huruma ndio mistake kubwa kabisa🔊🔊
Time hii akiandaa katuni atamfwata yule jeuri wa Londo
Kima achekewi kwenye mahindi mara mbili kaka
Jiwe aliambiwa fyatua akawa na huruma ndio mistake kubwa kabisa🔊🔊
Ushapona we mzeeWale kuku wanaitwa njachama, kazi yake ni ni kufarakanisha.
Hawa wanaishi kwa upepoHuyu mnafiki. Subiri Samia aondoke madarakani au afe utakuja kusikia kauli zake.
Hapo lazima kuna watoto wengine wapo BoT, Bandarini, TCRA, TANAPA pote kwenye keki ya taifa wameweka watu waoWazee wa lobying hawa, wanatumia mwanya kuhakikisha watoto wao hawatoki hapo
Now red flag iko juuyeah ndiyo maana Dunia iko jinsi ilivyo, its good against evil, hivyo hata yeye mtumbuaji kama hajajua kwamba evil exists kitakachokuja kumpata hatokisahau kama akisurvive kwani wao hawatakuwa na huruma naye wakipata nafasi …
Baba anasukuma kete awkward cause he knows the reason,Malkia hana simile kupress batani wala hajali.Time hii akiandaa katuni atamfwata yule jeuri wa Londo
Kima achekewi kwenye mahindi mara mbili kaka
Jiwe aliambiwa fyatua akawa na huruma ndio mistake kubwa kabisa
Kabisa.... Ni kama wachawi tu anacheka na wewe moyoni anakuwazia mabaya. Ni bora adui anayejiweka wazi kuliko adui mnafiq. Wabaya sana hawa watu.Hawa wanaishi kwa upepo
Na ni hatari snKabisa.... Ni kama wachawi tu anacheka na wewe moyoni anakuwazia mabaya. Ni bora adui anayejiweka wazi kuliko adui mnafiq. Wabaya sana hawa watu.
Ana umuhimu kwakoSalaam Shalom!!
Mzee wetu ameibuka na Kutoa Pongezi kedekede Kwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan Kwa uamuzi mzuri aliofanya kuwabadili baadhi ya mawaziri, mtoto wake akiwemo.
Amemfananisha Rais na Coach jinsi anavyobadili kikosi, Nia ni ushindi.
Ameenda mbali na kuwapongeza waliotumbuliwa akidai pia wanastahili Pongezi Kwa kuwa wamemsaidia Rais Kwa muda waliokuwa mamlakani.
Itoshe kusema kuwa, Mzee huyu naye ni MMOJA wa wazee muhimu waliobaki, tuwatumie.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Source: Mahojiano, Wasafi media.
Karibuni 🙏
======
Mwandishi: Mzee Makamba bwana, tumeona mabadiliko ya Baraza la mawaziri!
Makamba: Wewe unashangaa nini?
Mwandishi: Sishangai mzee Makamba, naangalia picha yako unavyoangalia na mheshimiwa Rais anavyoboresha
Makamba: Sawa labda nikwambie mambo mafupi tu! Halooo
Mwandishi: Nakusikia Mzee Makamba
Mzee Yusuph Makamba: Hivi kocha wa Simba akimtoa mchezaji unamlaumu? Mambo mawili yanayoweza kumfanya amtoe mchezaji, mwingine anaweza akawa hana makosa lakini amechoka, pumzi zimeisha lakini pumzi zikirudi anamrudisha tena maana hawa ambao leo wametolewa, walikuwemo wakatoka na wamerudi tena.
Kwahiyo usije ukashangaa tena mwingine akarudi baadae, jambo la kawaida tu. Nasema Rais ni kocha, kazi ya kocha ni kuhakikisha kwamba magoli yanafungwa.
Kwahiyo anatazama, je katika kipindi hiki nani mchezaji bora kuliko mwingine anamchukua na hawa anawapumzisha.
Kwahiyo tunampongeza Rais kwa uteuzi alioufanya, tunawapongeza walioteuliwa na tunawapongeza na hata hawa wameondolewa, wanapaswa kushukuru maana si walikuwemo?
Pesa nyingi amepiga wakati yupo nishatiTenguzi Kwa makamba ni faida kwake.maana ameondika na bilioni mia sita kwenye wizara yake ya mambo ya nje.maana alijua muda wowote atatoka na kuanza kuchota pesa mapema kabisa .
Hiv unafahamu bajeti ya wizara ya mambo ya nje kwa mwaka huu ni kiasi gani? Haizidi bilioni 200 na ndo kwanza mwaka wa fedha umeanza. Sasa hzo bilioni 600 kaziiba kutoka fungu gani?Tenguzi Kwa makamba ni faida kwake.maana ameondika na bilioni mia sita kwenye wizara yake ya mambo ya nje.maana alijua muda wowote atatoka na kuanza kuchota pesa mapema kabisa .
VizuriSalaam Shalom!!
Mzee wetu ameibuka na Kutoa Pongezi kedekede Kwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan Kwa uamuzi mzuri aliofanya kuwabadili baadhi ya mawaziri, mtoto wake akiwemo.
Amemfananisha Rais na Coach jinsi anavyobadili kikosi, Nia ni ushindi.
Ameenda mbali na kuwapongeza waliotumbuliwa akidai pia wanastahili Pongezi Kwa kuwa wamemsaidia Rais Kwa muda waliokuwa mamlakani.
Itoshe kusema kuwa, Mzee huyu naye ni MMOJA wa wazee muhimu waliobaki, tuwatumie.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Source: Mahojiano, Wasafi media.
Karibuni 🙏
======
Mwandishi: Mzee Makamba bwana, tumeona mabadiliko ya Baraza la mawaziri!
Makamba: Wewe unashangaa nini?
Mwandishi: Sishangai mzee Makamba, naangalia picha yako unavyoangalia na mheshimiwa Rais anavyoboresha
Makamba: Sawa labda nikwambie mambo mafupi tu! Halooo
Mwandishi: Nakusikia Mzee Makamba
Mzee Yusuph Makamba: Hivi kocha wa Simba akimtoa mchezaji unamlaumu? Mambo mawili yanayoweza kumfanya amtoe mchezaji, mwingine anaweza akawa hana makosa lakini amechoka, pumzi zimeisha lakini pumzi zikirudi anamrudisha tena maana hawa ambao leo wametolewa, walikuwemo wakatoka na wamerudi tena.
Kwahiyo usije ukashangaa tena mwingine akarudi baadae, jambo la kawaida tu. Nasema Rais ni kocha, kazi ya kocha ni kuhakikisha kwamba magoli yanafungwa.
Kwahiyo anatazama, je katika kipindi hiki nani mchezaji bora kuliko mwingine anamchukua na hawa anawapumzisha.
Kwahiyo tunampongeza Rais kwa uteuzi alioufanya, tunawapongeza walioteuliwa na tunawapongeza na hata hawa wameondolewa, wanapaswa kushukuru maana si walikuwemo?
Mimi Si mramba Asali!!Ana umuhimu kwako
Ni yule wa pale chalinze?Huyu mzee alikuwa na mganga wake alikuwa kiboko sana angekuwepo hai, mwanawe asingetumbuliwa. Huyo sangoma jina lake Mohamed Mbega enzi za uhai wake wakati wa Jk alikuwa anaingia Ikulu muda wowote, alikuwa mtu muhimu sana kwenye utawala wa JK na ndiye alifanya Makamba na JK wawe na uswahiba mkubwa.
Hilo zee huwa ni kubwa jinga.Siku hili zee la hovyo likifwariki itakua sherehe na dhihaka itakua sana bahati mbaya sana halitokua linasikia