Mzee Yusuph Makamba: Nampongeza Rais Samia kwa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, asema isiwe mshangao wakirudishwa

Mzee wa wazuri hawafi kama alivyokuwa kilaza yeye ndo kama Mwanae alivyo
 
Wenzake wametumbuliwa kisa hizo pongezi
 
Ile kauli yake "wazuri hawafi" itamtesa sana Duniani na ahera. Nimejifunza it's better to have something to say rather than saying something. Tuchunge midomo
 
Mzee anamtafutia huruma mtoto wake
 
Huyu mzee comedian ajue muda wake umeisha. Hawezi tena kuhadaa watu huku sera zake ni kuweka tumbo lake na jamaa zake mbele. Hatujasahau jinsi alivyopewa ukatibu mkuu wa ccm na rafiki yake jk alituvurugia chama wanaccm. Aliendesha ushikaji tu na chama kupoteza maadili kabisa.
 
Amejibu vema.Na akiwa nje ya uwanja anaweza akajirekebisha baada ya kujitafakari alipojikwaa.
 
Mwanasiasa nguli mzee Yusufu Makamba [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…