Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Ni kitambo sana kimepita
Zahiri Ally Akiwa Na wanae Banana & Maunda
Great memories
Zahiri Ally Akiwa Na wanae Banana & Maunda
Great memories
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good memory kabisaNi kitambo sana kimepita
Zahiri Ally Akiwa Na wanae Banana & Maunda
Great memories
View attachment 1930231
By the way,Wamanyema asili yao ni Congo.Namkumbuka sana akiwa na band ya JK Kimulimuli jazz ikiwa Mafinga, Iringa then alikuja Dar wakiwa na babu Seya na band yao ya Orchestra Sambulumaa, sijui hi picha na wanae ni enzi akiwa Iringa au Dar. Long live brother Zahil Alli Zorro, tukiwa wadogo tulikuaga tunashindwa kutamka jina lako la Zahir badala yake tulikua tunaita Zaire Ali, nilijuaga wewe ni Mzaire (sasa Congo ya Kinshasa ) kumbe wewe ni Mmanyema/Muha wa Kigoma.
SIFA ZA KIJINGA.By the way,Wamanyema asili yao ni Congo.
Ule mtaa wa Manyema uliopo jijini Dsm uliitwa hivyo maana ulijaa Wamanyema,wengi wao walikuwa ni watumwa/wapagazi kutoka Congo. Si unajua kuna mtaa pia unaitwa Congo street jirani kabisa na Manyema street?
Diamond Platnumz naye ni Mmanyema na ndo maana Diamond alipofanya 'collabo' na Koffi Olomide ,Mama Dangote (mamaye Diamond) alisema kwamba hiyo ni collabo ya mtu na mjomba'ake,akimaanisha wao pia kihistoria wanatoka Congo.
Originally,Zahir A. Zorro is from Congo. A home of music.Kule ambako waasi hubeba bunduki mkono wa kulia na gitaa mkono wa kushoto.
Kosa hapo ni nini?SIFA ZA KIJINGA.
Maelezo yake yapo sahihi. Kwa kuongezea ni kuwa hata ile ofisi ndogo ya ccm lumumba, jengo alitoa kama Zawadi mwanamke wa kimanyema ili iwe ofisi ya TANU ila akina Makamba sr wakauza upandeSIFA ZA KIJINGA.
Kosa hapo ni lipi?SIFA ZA KIJINGA.
Naupenda sana photo album na Cleopatra.Huyu Mzee sugu namkubali sana.Hasa ule wimbo wake 'Photo album' akiwa na Kimulimuli Jazz Band.
Ananifurahisha zaidi anapoutaja mji wa Mwanza na viunga vyake (Nyamanoro,nk). Nikiusikiliza huwa napakumbuka sana nyumbani.
MKONGO, WENGI WAKONGO MAN, DIAMOND NA KOFFI NI MTU NA MJOMBA WAKE AKIMAANISHA ASILI YAO NI KONGO SO WHAT?Kosa hapo ni nini?
Thanks brother for the nice history, gained something, this is JF bwana.By the way,Wamanyema asili yao ni Congo.
Ule mtaa wa Manyema uliopo jijini Dsm uliitwa hivyo maana ulijaa Wamanyema,wengi wao walikuwa ni watumwa/wapagazi kutoka Congo. Si unajua kuna mtaa pia unaitwa Congo street jirani kabisa na Manyema street?
Diamond Platnumz naye ni Mmanyema na ndo maana Diamond alipofanya 'collabo' na Koffi Olomide ,Mama Dangote (mamaye Diamond) alisema kwamba hiyo ni collabo ya mtu na mjomba'ake,akimaanisha wao pia kihistoria wanatoka Congo.
Originally,Zahir A. Zorro is from Congo. A home of music.Kule ambako waasi hubeba bunduki mkono wa kulia na gitaa mkono wa kushoto.
Hiv nyimbo za Kimulimuli zipo youtubes? Najua za Sambulumaa zipo na nime download kadhaaHuyu Mzee sugu namkubali sana.Hasa ule wimbo wake 'Photo album' akiwa na Kimulimuli Jazz Band.
Ananifurahisha zaidi anapoutaja mji wa Mwanza na viunga vyake (Nyamanoro,nk). Nikiusikiliza huwa napakumbuka sana nyumbani.