Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Umesoma na kuelewa alicho eleza au unachuki zako tu mkuu? Jamaa kaeleza historia ya kabila la Wamanyema kwasababu mimi nimesema utotoni na wenzangu tulikua tunashindwa kutamka Zahir badala yake tulitamka Zaire Ali then nikagusia issue ya kabila lake huyu mwamba, jamaa kwa maelezo yake ndio kaonesha uhusiano wa Manyema na Ukongo wake, kaendelea kuthibitisha kuhusu kabila hilo na alicho kisema mama yake Diamonds, KOSA hapo ni nini mkuu!?MKONGO, WENGI WAKONGO MAN, DIAMOND NA KOFFI NI MTU NA MJOMBA WAKE AKIMAANISHA ASILI YAO NI KONGO SO WHAT?
SIFA ZA KIPUMBAVU. MTU ASIFIWE KWA CREDIBILITY NA SIO UKIMBIZI.