Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Serikali ingesitisha manunuzi ya magari yake yanofumia mafuta na yale yote yalotumika yangeuzwa.
Kisha dealers waagizwa kuleta magari mapya yenye kutumia hiyo gesi.
Yaani serikali yatakiwa kufanya mambo haya kwa awamu phase1, phase2 na kuendelea. Si kukurupuka tu usubuhi jogoo awika na waja na kauli tatanishi hata wale wauza mafuta waweza kupatwa na mstuko wa moyo.
Kuna ile tetes ya mitungi ya gesi kugawiwa kwa watu. Labda hii ndiyo effect yfake.