'Mzigo mzito mpe mnyamwezi'. Tumshauri mbinu gani za kulibeba hili zigo zito la nishati ya Taifa letu


Kuna ile tetes ya mitungi ya gesi kugawiwa kwa watu. Labda hii ndiyo effect yfake.
 
Hata Toyota akiambiwa aje aa assemble hayo magari hapa anakubali
 
Hii ni theory tu unazungumzia, nakwambia tena.. bado kutakua zengwe la umeme hata bwawa likianza uzalishaj!! Tatizo ni mfumo wa kipigaji!!
 
Hata Toyota akiambiwa aje aa assemble hayo magari hapa anakubali
Wawekezaji kama hao wahitaji mazingira murua ya kufanyia biashara zao na soko la uhakika.

Nchi yetu ingekuwa na uchumi unoeleweka magari chakavu na yalotumika yasingeletwa kwa wingi bali watu wenye uwezo wangenunua magari mapya yanotengenezwa Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…